Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

Asilimia mia ya magari used afrika yanatoka japan....kwa kuiangalia tu japan na udogo wake unaweza kataa gari zote hazitoki japan....hebu nifafanulie hapa ina maana huko mtu mmoja anamiliki gari zaidi ya kumi?
🤣🤣🤣 Huku gari sio ishu Wala watu hawababaiki nayo, ni vigumu mtu kumiliki magari 10 wanachofanya ananunua gari anatumia kwa mda akilichoka analipeleka sehemu maalum ama analiuza anapewa pesa anaenda kununua mpya na hizo used nyingi ndio zinaletwa africa
 
Shukrani mkuu kwa kutujuza mambo ya huko Japan,vipi thamani ya pesa yao huko ipoje mfano laki moja ya huku Japan ni kiasi gani?,kwa uwingi wa viwanda huko hasa magari bei ipoje kwa huko?,ubaguzi hasa kwa mtu mweusi je,
Kuhusu thamani ya pesa' ni rahisi sana kujua. Ingia Google one time maana currencies zinabadilika kila uchwao
 
Kuhusu thamani ya pesa' ni rahisi sana kujua. Ingia Google one time maana currencies zinabadilika kila uchwao
Mkuu kuuliza google ni tofauti na kumuuliza mtu aliyeishi huko, we jibu maswali kwa mfano majibu yako yawe labda wali plate 1 dola 70 au yen 46 ili tuelewe vizur au bei ya samaki kilo 1 dola 30

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rudi uchukue mtoto wako au unataka awe director wa TOYOTA ule pensheni kwa mrija ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuuliza google ni tofauti na kumuuliza mtu aliyeishi huko, we jibu maswali kwa mfano majibu yako yawe labda wali plate 1 dola 70 au yen 46 ili tuelewe vizur au bei ya samaki kilo 1 dola 30

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako zuri mkuu
Japan gharama za umeme na gesi ziko juu sana kulinganisha na vyakula ama vinywaji
MFANO:
Bia na soda zinauzwa kutegemeana na size.
Soda ya coke/Pepsi 1.5litres inauzwa kwa 370yen
Maji litre moja 250Yen
Bia ya heiken 1litre 1300Yen
Samaki sangala wa E.A ni zaidi ya $50+ per kg
Japan Wana bia yao maarufu inaitwa Asahi super Dry inauzwa kwa 1litre 700Yen

Zipeleke kwa Tsh ili upate gharama halisi za kinyumbani
 
Majina yao ss[emoji38]

Kuna Balozi wao alikua anaitwa NAGAWA UCHI KUMAMOTO
Halafu mengi yamekaa kiswahili Swahili😃 miji yao ilikuwa hainipi shida kabisa kutamka tofauti na china
 
Endelea kutuletea makala kama hizi kwa wingi kadri unavyofahamu kwa uzoefu wako,inawezekana baada ya janga la Corona panapo uhai,fursa zikatokea.
Usijali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…