Ifahamu nguvu ya koromeo la fisi katika biashara

Ifahamu nguvu ya koromeo la fisi katika biashara

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Katika biashara yapo mambo yanayofanywa na wafanyabiashara ili kuwavuta wateja ambayo ukisimuliwa unaweza kufikiri ni utani ama story za vijiweni.

Miongoni mwa mambo hayo ni matumizi ya koromeo la mnyama fisi katika kuchujia pombe za kienyeji.

Inasemekana endapo utakunywa pombe iliyochujiwa kwenye koromeo la fisi utakuwa mteja wa kudumu wa mama muuza.

Mtaani ipo mifano mingi ya watu ambao kila baada ya masaa kadhaa lazima aende kuboost kwa mama muuza,usiwadharau wala kuwacheka mara nyingi sio wao bali nguvu ya koromeo la mnyama fisi
 
Back
Top Bottom