GE2025 Ifahamu Orodha ya Wabunge wote wa Kuchaguliwa wa Tanzania Bara katika Majimbo 222

GE2025 Ifahamu Orodha ya Wabunge wote wa Kuchaguliwa wa Tanzania Bara katika Majimbo 222

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, uliofanyika Oktoba, ulilenga kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Licha ya maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi na kupelekea vifo vya raia kutoka kwenye silaha za moto za Polisi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliendelea na zoezi la uchaguzi na kutoa matokeo rasmi. Rais Samia Suluhu Hassan alishinda kwa asilimia 97.66 ya kura, huku chama chake, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikishinda viti vingi bungeni.

Tanzania ina jumla ya majimbo 272, ikiwa ni 222 Tanzania Bara na 50 Zanzibar. Tanzania Bara, CCM ilishinda viti 216 kati ya 222, huku ACT-Wazalendo ikipata viti vinne: Ukonga (Dar es Salaam), Kigoma Kaskazini (Kigoma), Nkasi Kaskazini (Rukwa), na Tunduru Kaskazini (Ruvuma). CHAUMMA ilishinda jimbo moja la Segerea (Dar es Salaam).

Jimbo moja, Siha katika Mkoa wa Kilimanjaro, halikuweza kushiriki uchaguzi kama ilivyopangwa kutokana na kifo cha mgombea wa Ubunge wa CUF, Daudi Wilibrod Ntuyehabi, tarehe 8 Oktoba 2025. Uchaguzi wa Siha sasa umepangwa kufanyika Desemba 30, 2025.

Hii hapa ni orodha ya Wabunge wote waliochaguliwa Tanzania Bara.
​

NO.​
CONSTITUENCY
REGION

MP NAME

PARTY

1​
Monduli
Arusha

Isack Joseph Copriao

CCM

2​
Karatu
Arusha

Daniel Awack Tlemah

CCM

3​
Arusha Mjini
Arusha

Paul Christian Makonda

CCM

4​
Ngorongoro
Arusha

Yannick Ikayo Ndoinyo

CCM

5​
Longido
Arusha

Dkt. Steven Lemomo Kiruswa

CCM

6​
Arumeru Magharibi
Arusha

Dkt. Johannes Lembulung' Lukumay

CCM

7​
Arumeru Mashariki
Arusha

Joshua Nassari

CCM

8​
Kigamboni
Dar es Salaam

Haran Nyakisa Sanga

CCM

9​
Kibamba
Dar es Salaam

Angellah Jasmine Mwelwa Kairuki

CCM

10​
Ubungo
Dar es Salaam

Prof. Kitila Alexander Mkumbo

CCM

11​
Temeke
Dar es Salaam

Miriam Kisangi

CCM

12​
Chamazi
Dar es Salaam

Abadallah Jafari Chaurembo

CCM

13​
Mbagala
Dar es Salaam

Kakulu Buchard Kakulu

CCM

14​
Kawe
Dar es Salaam

Geofrey Anyosisye Timoth

CCM

15​
Kinondoni
Dar es Salaam

Abbas Gulam Tarimba

CCM

16​
Ukonga
Dar es Salaam

Bakari Bakari Shingo

ACT Wazalendo

17​
Segerea
Dar es Salaam

Agnesta Lambert Kaiza

CHAUMMA

18​
Ilala
Dar es Salaam

Mussa Azzan Zungu

CCM

19​
Kivule
Dar es Salaam

Dougras Didas Masaburi

CCM

20​
Bahi
Dodoma

Kenneth Mollo

CCM

21​
Chamwino
Dodoma

Deogratius John Ndejembi

CCM

22​
Mvumi
Dodoma

Livingston Lusinde

CCM

23​
Chemba
Dodoma

Kunti Yusuph Majala

CCM

24​
Dodoma Mjini
Dodoma

Paschal Inyasa Chinyele

CCM

25​
Mtumba
Dodoma

Anthony Peter Mavunde

CCM

26​
Kondoa Vijijini
Dodoma

Ashatu Kachwamba Kijaji

CCM

27​
Kondoa Mjini
Dodoma

Mariam Ditopile Mzuzuri

CCM

28​
Mpwapwa
Dodoma

George Matany Malima

CCM

29​
Kibakwe
Dodoma

George Boniface Simbachawene

CCM

30​
Kongwa
Dodoma

Isaya Marugumi Moses

CCM

31​
Bukombe
Geita

Dkt. Dotto Mashaka Biteko

CCM

32​
Busanda
Geita

Dkt. Jafar Rajab Seif

CCM

33​
Chato Kaskazini
Geita

Cornel Lucas Magembe

CCM

34​
Chato Kusini
Geita

Pascal Lucas Lutandula

CCM

35​
Geita Mjini
Geita

Chacha Mwita Wambura

CCM

36​
Geita
Geita

Musukuma Joseph Kasheku

CCM

37​
Katoro
Geita

Kija Limbu Ntemi

CCM

38​
Mbogwe
Geita

Fagasoni Aron Nkingwa

CCM

39​
Nyang'wale
Geita

Hussein Nassor Amar

CCM

40​
Iringa Mjini
Iringa

Fadhili Fabian Ngajilo

CCM

41​
Ismani
Iringa

William Vanging'ombe Lukuvi

CCM

42​
Kalenga
Iringa

Jackson Gideon Kiswaga

CCM

43​
Kilolo
Iringa

Dkt. Ritta Enespher Kabati

CCM

44​
Mafinga Mjini
Iringa

Dickson Nathan Lutevele

CCM

45​
Mufundi Kusini
Iringa

David Mwakiposa Kihenzile

CCM

46​
Mufindi Kaskazini
Iringa

Exaud Kigahe

CCM

47​
Ngara
Kagera

Dotto Jasson Bahemu

CCM

48​
Biharamulo Magharibi
Kagera

Eng. Ezra John Chiwelesa

CCM

49​
Bukoba Mjini
Kagera

Johansen Mutabingwa

CCM

50​
Bukoba Vijijini
Kagera

Jasson Samson Rweikiza

CCM

51​
Karagwe
Kagera

Innocent Lugha Bashungwa

CCM

52​
Kyerwa
Kagera

Khalid Mussa Nsekella

CCM

53​
Misenyi
Kagera

Florent Laurent Kyombo

CCM

54​
Muleba Kaskazini
Kagera

Adonis Alfred Bitegeko

CCM

55​
Muleba Kusini
Kagera

Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo

CCM

56​
Kavuu
Katavi

Laurent Deogratius Luswetula

CCM

57​
Katavi
Katavi

Thomas Kampala Maganga

CCM

58​
Mpanda Mjini
Katavi

Haidar Hemed Sumury

CCM

59​
Nsimbo
Katavi

Anna Richard Lupembe

CCM

60​
Tanganyika
Katavi

Moshi Selemani Kakoso

CCM

61​
Kakonko
Kigoma

Alan Thomas Mvano

CCM

62​
Muhambwe
Kigoma

Florance George Samizi

CCM

63​
Kasulu Mjini
Kigoma

Prof. Joyce Ndalichako

CCM

64​
Kasulu Vijini
Kigoma

Edibily Kazala Kimyoma

CCM

65​
Buhigwe
Kigoma

Prof. Pius Yanda

CCM

66​
Kigoma Kaskazini
Kigoma

Kiza Mayeye

ACT Wazalendo

67​
Kigoma Kusini
Kigoma

Nuru Issa Kashakari (Kandahali)

CCM

68​
Kigoma Mjini
Kigoma

Clayton Revocatus Chiponda (Baba Levo)
CCM

69​
Rombo
Kilimanjaro

Prof. Adolf Faustine Mkenda

CCM

70​
Hai
Kilimanjaro

Saashisha Elinikyo Mafuwe

CCM

71​
Vunjo
Kilimanjaro

Enock Zadock Koola

CCM

72​
Moshi Vijijini
Kilimanjaro

Moris Joseph Makoi

CCM

73​
Mwanga
Kilimanjaro

Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe

CCM

74​
Same Magharibi
Kilimanjaro

Dkt. Mathayo David Mathayo

CCM

75​
Same Mashariki
Kilimanjaro

Anne Kilango Malecela

CCM

76​
Moshi Mjini
Kilimanjaro

Ibrahim Mohamed Shayo

CCM

77​
Siha
Kilimanjaro

​
​
78​
Lindi Mjini
Lindi

Mohammed Mussa Utaly

CCM

79​
Mchinga
Lindi

Salma Rashidi Kikwete

CCM

80​
Kilwa Kaskazini
Lindi

Kinjekitile Ngombale Mwiru

CCM

81​
Kilwa Kusini
Lindi

Hasnain Gulamabbas Dewji

CCM

82​
Liwale
Lindi

Eng. Mashamu Ali Munde

CCM

83​
Mtama
Lindi

Nape Mosses Nnauye

CCM

84​
Ruangwa
Lindi

Kaspar Kaspar Mmuya

CCM

85​
Nachingwea
Lindi

Fadhili Ali Liwaka

CCM

86​
Kiteto
Manyara

Edward Ole Lekaita Kisau

CCM

87​
Babati Mjini
Manyara

Emmanuel John Khambay

CCM

88​
Mbulu vijijini
Manyara

Emmanuel Qambaji Nuwas

CCM

89​
Hanang'
Manyara

Asia Abdulikarim Halamga

CCM

90​
Simanjiro
Manyara

James Kinyasi Ole Millya

CCM

91​
Babati Vijini
Manyara

Daniel Baran Sillo

CCM

92​
Mbulu Mjini
Manyara

Zacharia Paulo Issaay

CCM

93​
Musoma Mjini
Mara

Mgore Miraji Kigera

CCM

94​
Serengeti
Mara

Mary Daniel Joseph

CCM

95​
Bunda Mjini
Mara

Ester Amos Bulaya

CCM

96​
Rorya
Mara

Jafari Wambura Chege

CCM

97​
Musoma Vijijini
Mara

Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo

CCM

98​
Tarime Vijijini
Mara

Mwita Mwikwabe Waitara

CCM

99​
Mwibara
Mara

Kangi Aphaxad Lugola

CCM

100​
Bunda Vijijini
Mara

Boniphace Mwita Getere

CCM

101​
Butiama
Mara

Dkt. Wilson Mahera Charles

CCM

102​
Tarime Mjini
Mara

Esther Nicholaus Matiko

CCM

103​
Uyole
Mbeya

Dkt. Tulia Ackson Mwansasu

CCM

104​
Mbeya Mjini
Mbeya

Patrick Adkin Mwalunenge

CCM

105​
Kyela
Mbeya

Baraka Ulimboka Mwamengo

CCM

106​
Rungwe
Mbeya

Anthony Albert Mwantona

CCM

107​
Mbarali
Mbeya

Bahati Keneth Ndingo

CCM

108​
Mbeya Vijijini
Mbeya

Patali Shida Patali

CCM

109​
Lupa
Mbeya

Masache Njelu Kasaka

CCM

110​
Busokelo
Mbeya

Lutengano George Mwalwiba

CCM

111​
Morogoro Mjini
Morogoro

Abdul Aziz Mohammed Abood

CCM

112​
Morogoro Kusini Mashariki
Morogoro

Hamis Shabani Taletale

CCM

113​
Morogoto Kusini
Morogoro

Zuber Yahaya Mfaume

CCM

114​
Gairo
Morogoro

Ahmed Mabkhut Shabiby

CCM

115​
Mvomero
Morogoro

Sarah Msafiri Ally

CCM

116​
Kilosa
Morogoro

Prof. Palamagamba John Kabudi

CCM

117​
Mikumi
Morogoro

Dennis Lazaro Londo

CCM

118​
Ulanga
Morogoro

Salim Alaudin Hasham

CCM

119​
Malinyi
Morogoro

Mecktrids Fratem Mdaku

CCM

120​
Kilombero
Morogoro

Abubakar Damian Asenga

CCM

121​
Mlimba
Morogoro

Kellen Rose Rwakatare

CCM

122​
Mtwara Mjini
Mtwara

Joel Arthur Nanauka

CCM

123​
Mtwara Vijijini
Mtwara

Arif Selemani Premji

CCM

124​
Nanyamba
Mtwara

Abdallah Dadi Chikota

CCM

125​
Tandahimba
Mtwara

Katani Ahmadi Katani

CCM

126​
Newala Mjini
Mtwara

Rashidi Mohammed Mtima

CCM

127​
Newala Vijini
Mtwara

Yahaya Esmail Nawanda

CCM

128​
Lulindi
Mtwara

Issa Ally Mchungahela

CCM

129​
Masasi
Mtwara

Leonard Douglas Akwilapo

CCM

130​
Ndanda
Mtwara

Faraji Buriani Nandala

CCM

131​
Nanyumbu
Mtwara

Yahya Ally Mhata

CCM

132​
Nyamagana
Mwanza

John Francisco Nzilanyingi

CCM

133​
Ilemela
Mwanza

Kafiti William Kafiti

CCM

134​
Buchosa
Mwanza

Eric James Shigongo

CCM

135​
Sengerema
Mwanza

Hamis Tabasam Mwagao

CCM

136​
Ukerewe
Mwanza

Dkt. Sweetbert Zacharia Mkama

CCM

137​
Magu
Mwanza

Boniventura Kiswaga Destery

CCM

138​
Sumve
Mwanza

Moses Charles Bujaga

CCM

139​
Kwimba
Mwanza

Bulala Mtesigwa Cosmas

CCM

140​
Misungwi
Mwanza

Silvery Luboja Salvatory

CCM

141​
Ludewa
Njombe

Joseph Zacharius Kamonga

CCM

142​
Njombe Mjini
Njombe

Deodatus Philip Mwanyika

CCM

143​
Wanging'ombe
Njombe

Festo John Dugange

CCM

144​
Lupembe
Njombe

Edwin Enosy Swalle

CCM

145​
Makete
Njombe

Festo Zacharius Sanga

CCM

146​
Makambako
Njombe

Daniel Godfrey Chongolo

CCM

147​
Rufiji
Pwani

Mohammed Omary Mchengerwa

CCM

148​
Kibaha Mjini
Pwani

Silyvestry Francis Koka

CCM

149​
Kibiti
Pwani

Amina Mussa Mkumba

CCM

150​
Bagamoyo
Pwani

Subira Khamis Mgalu

CCM

151​
Chalinze
Pwani

Ridhiwani Jakaya Kikwete

CCM

152​
Kibaha Vijijini
Pwani

Hamoud Abuu Jumaa

CCM

153​
Mkuranga
Pwani

Abdallah Hamis Ulenga

CCM

154​
Kisarawe
Pwani

Dkt. Suleiman Said Jafo

CCM

155​
Mafia
Pwani

Omari Juma Kipanga

CCM

156​
Kalambo
Rukwa

Edifonsi Joackim Kanoni

CCM

157​
Nkasi Kaskazini
Rukwa

Mbwilo Bazilio Kapunda

ACT Wazalendo

158​
Nkasi Kusini
Rukwa

Moses Ludovico Kaegele

CCM

159​
Sumbawanga Mjini
Rukwa

Aeshi Khalfan Hilaly

CCM

160​
Kwela
Rukwa

Deus Clement Sangu

CCM

161​
Tunduru Kaskazini
Ruvuma

Ado Shaibu

ACT Wazalendo

162​
Tunduru Kusini
Ruvuma

Fadhili Sandali Chilombe

CCM

163​
Madaba
Ruvuma

Omary Marcus Msigwa

CCM

164​
Mbinga Mjini
Ruvuma

Jonas William Mbunda

CCM

165​
Mbinga Vijijini
Ruvuma

Judith Salvio Kapinga

CCM

166​
Namtumbo
Ruvuma

Dkt. Juma Zuberi Homera

CCM

167​
Nyasa
Ruvuma

John John Nchimbi

CCM

168​
Songea Mjini
Ruvuma

Dkt. Damas Daniel Ndumbaro

CCM

169​
Peramiho
Ruvuma

Jestina Joachim Mhagama

CCM

170​
Kahama Mjini
Shinyanga

Benjamin Lukubha Ngaiwa

CCM

171​
Msalala
Shinyanga

Magangila Johnson Mabula

CCM

172​
Ushetu
Shinyanga

Emmanuel Peter Charahani

CCM

173​
Solwa
Shinyanga

Ahmed Ally Salum

CCM

174​
Itwangi
Shinyanga

Aziz Hilal Hamad

CCM

175​
Shinyanga Mjini
Shinyanga

Patrobas Paschal Katambi

CCM

176​
Kishapu
Shinyanga

Lucy Thomas Mayenga

CCM

177​
Bariadi Mjini
Simiyu

Eng. Andrea Mathew Kundo

CCM

178​
Bariadi Vijini
Simiyu

Kungu Kadogosa Masanja

CCM

179​
Busega
Simiyu

Lusengekile Simon Songe

CCM

180​
Itilima
Simiyu

Silanga Njalu Daudi

CCM

181​
Maswa Mashariki
Simiyu

George Venance Lugomela

CCM

182​
Maswa Magharibi
Simiyu

Ndaki Mashimba Mashauri

CCM

183​
Meatu
Simiyu

Salum Sakum Khamis

CCM

184​
Kisesa
Simiyu

Musa Godfrey Mbuga

CCM

185​
Singida Mjini
Singida

Yangi Maulid Kiaratu

CCM

186​
Ilongero
Singida

Haidareli Hussein Gulamali

CCM

187​
Iramba Mashariki
Singida

Jesca David Kishoa

CCM

188​
Iramba Magharibi
Singida

Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

CCM

189​
Ikungi Mashariki
Singida

Thomas Mgonto Kitima

CCM

190​
Ikungi Magharibi
Singida

Elibariki Immanuel Kingu

CCM

191​
Manyoni
Singida

Dkt. Pius Stephen Chaya

CCM

192​
Itigi
Singida

Yohana Stephen Msita

CCM

193​
Songwe
Songwe

Philipo Augustino Mulugo

CCM

194​
Vwawa
Songwe

Japhet Ngailonga Hasunga

CCM

195​
Mbozi
Songwe

Onesmo Mkondya

CCM

196​
Tunduma
Songwe

David Ernest Silinde

CCM

197​
Momba
Songwe

Condester Michael Sichalwe

CCM

198​
Ileje
Songwe

Godfrey Kasekenya

CCM

199​
Sikonge
Tabora

Amosy William Maganga

CCM

200​
Tabora Mjini
Tabora

Hawa Subira Mwaifunga

CCM

201​
Kaliua
Tabora

Joseph Enock Tama

CCM

202​
Ulyankulu
Tabora

Japhael Masanja Lufungija

CCM

203​
Nzega Mjini
Tabora

Hussein Mohammed Bashe

CCM

204​
Bukene
Tabora

John Stephano Luhende

CCM

205​
Nzega Vijijini
Tabora

Neto Paul Kapalata

CCM

206​
Igunga
Tabora

Henry Kabeho

CCM

207​
Manonga
Tabora

Abuubakary Omary

CCM

208​
Uyui
Tabora

Shafiin Ahmedai Sumar

CCM

209​
Igalula
Tabora

Juma Ramadhani Mustafa

CCM

210​
Urambo
Tabora

Margaret Sitta

CCM

211​
Tanga Mjini
Tanga

Kassimu Aman Mbaraka

CCM

212​
Mlalo
Tanga

Rashidi Abdallah Shangazi

CCM

213​
Lushoto
Tanga

Shemdoe Riziki Silas

CCM

214​
Bumbuli
Tanga

Ramadani Hamza Singano (Eng)

CCM

215​
Muheza
Tanga

Hamis Mwinjuma (Mwana FA)

CCM

216​
Mkinga
Tanga

Twaha Said Mwakioja

CCM

217​
Kilindi
Tanga

Salahe Mbwana Mhando

CCM

218​
Pangani
Tanga

Jumaa Hamidu Aweso

CCM

219​
Handeni Vijijini
Tanga

Charles Jacob Sungura

CCM

220​
Korogwe Mjini
Tanga

Charles Mhando Njama

CCM

221​
Korogwe Vijijini
Tanga

Timotheo Mnzava

CCM

222​
Handeni Mjini
Tanga

Kwagilwa Reuben Nhamalilo

CCM
​
 
sijamuona Babu Tale hapo au hajagombea ubunge.? sijamsikia kwenye hizi harakati za ubunge kaishia wapi.!
 
Back
Top Bottom