Ifahamu picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh

Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali

Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa

Niwatakie usiku mwema

سید_علی_خامنه_ای_در_سال_۱۴۰۳_(cropped) (1).jpg
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh

Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali

Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa

Niwatakie usiku mwema
Ayatollah Ruhollah Allah Imam Khomein ndio Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislam nchini Iran. Baada ya kufariki ndio akarithi huyu aliyepo Ayatollah Alli Khamenei.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh

Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali

Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa

Niwatakie usiku mwema
His comeuppance is coming
 
Very sad to him.
Kifuatacho atakuwa amekitafuta na kukitaka. Myahudi safari hii amedhamiria.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh

Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali

Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa

Niwatakie usiku mwema
Mume wa makafiri wote duniani
 
***** huyo akifa kwa shambulio la Israel ndio mtajua iran ni nani hapo mido east,
 
Usiseme kiongozi mkuu wa Iran Sema kiongozi mkuu wa waajemi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh

Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali

Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa

Niwatakie usiku mwema
So what?
 
Acha uongo. Kiongozi mkuu wa mapinduzi ni Ayatollah Ruhollah Khomeini.
 
Back
Top Bottom