Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ayatollah Ruhollah Allah Imam Khomein ndio Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislam nchini Iran. Baada ya kufariki ndio akarithi huyu aliyepo Ayatollah Alli Khamenei.Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh
Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali
Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa
Niwatakie usiku mwema
His comeuppance is comingWadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh
Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali
Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa
Niwatakie usiku mwema
Mume wa makafiri wote dunianiWadau hamjamboni nyote?
Nimeona niwaletee picha rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran Ayatollah Sayyid Ali Hosseini Khameneh
Picha husika hutumika kwenye shughuli rasmi za kiserikali
Kiongozi huyu ana Umri wa miaka 85 ya kuzaliwa
Niwatakie usiku mwema
So what?Wadau hamjamboni nyote?