Ifahamu Saikolojia ya Hasira

umenifunza jambo
 
Uko sahihi,hii ina maana pia kama ni mwanamke umemkosea mumeo ukaona kakupiga na fimbo na makofi ujue yameisha hana hasira tena,ni bora ushukuru kuliko akikaa kimya...
 
Hasira hukaa kifuani pa mpumbavu.
Kuna jamii fulani, inapenda Sana ugomvi, na silaha yao kubwa no mapanga, huwa wanakunywa dawa za kuongeza hasira.
Itakua jamii ya wapumbavu hiyo.
 
Hizo hasira za misosi na kuvunja vitu ni za matajiri. Wewe pangu pakavu huna hata hela ya kununnua mihogo upandwe na hasira za misosi si unatafutiwa kuiba mali za wenyewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jamii ambazo hula nyama nyekundu kwa wingi au damu / wafugaji ndio zenye watu wengi wenye hasira sana. Jamii Kama wapogo, waluguru, wazaramo na wakwere. Hawa huwa na hasira sana. Tofauti na sisi tunaokula samaki kwa wingi k.v wadigo
 
Mkuu mbona unazunguka sana hivi? Je, una Utani na Wakurya au Watu wa Mkoa wa Mara kwani Maudhui yako hapa kwa 100% yanawahusu mno.
 
Mbona matukio ya kikatili ya watu wenye hasira hayatokei kwenye jamii ulizozitaja ?
 
Hasira hasara wahenga walisema , Kat ujana wangu nilikua sensitive sana na hasira za papo hapo, Ila nilikuja kupata funzo kubwa San mwaka Fulani, ikanibadilisha kabisa mtizamo huo
Siku hizi hata ukinikanyaga mguu kwa makusudi msamaha nitakuomba mie!
 
Always question...why am i angry? What does it mean?..what are underlying feelings or unmet needs?.
 
Mkuu mbona unazunguka sana hivi? Je, una Utani na Wakurya au Watu wa Mkoa wa Mara kwani Maudhui yako hapa kwa 100% yanawahusu mno.
Hahaa aisee hapana, hasira kila mtu anayo ila tu mda wa kuisha ama jinsi ya kuondoka ndio tunatofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…