namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
Mkuu kutoka gugo kuna hii kitu nimekuja nayo..."Wakati dunia inajizinguusha kwenye mhimili wake kwa kasi ya Km 1675 kwa saa moja,Jupiter inajizunguusha kwa kasi ya Km 43,000 kwa saa",na hivyo kukamilisha mzunguuko/siku yake kwa saa 9.9 tu.
Wakuu naona mnachanganya ma-file mkirejea hiyo fact no. 9
Ni kwamba:-
1: Siku (day) hupatikana kwa sayari kujizungusha yenyewe kwenye mhimili wake yaani rotation, kwenye solar system ni Dunia "Earth" tu yenye uwezo wa ku-rotate na Dunia uchukua saa 24 kumaliza one rotation na matokeo yake ni kupata "usiku na mchana"
2: Tendo la sayari kuzunguka Jua linaitwa revolution na matokeo yake ni kupata misimu ya mwaka kama autumn,summer nk.
NB: kwahiyo wakuu ni makosa kusema Jupiter siku yake ukamilika baada ya saa 9 kwa sababu hai-rotate.
-hii ni kwa mujibu wa astronomy ya Copernicus "Greece scientist"