ni kasi kushinda kasi ya dunia?Inapojizungusha na kulizunguka jua vyote ni kasi mkuu sema umbali ndio unahusika mkuu
Ngoja nisiongeze wala kupunguza neno,ingia hapa.Jupiter Facts - Interesting Facts about Planet JupiterLabda nauliza swali, Kwa kulinganisha na dunia, jupiter
1: inavyojizungusha na
2: inavyolizunguka
jua Je, huzungukaa haraka kuliko dunia kwenye matukio yote hayo mawili au? NAOMBA NIJIBIWE HAPO KWANZA KABLA SIJAUELEZEA MKANGANYIKO
Hapana, haiko speed kwenye matukio yote mawili,ila ya kujizunguusha yenyewe kwenye muhimili wake ndio iko spidi sana inachukua saa 9:55 tu kumaliza wakati dunia utumia 24,lakini kulizunguuka jua inachukua miaka 11.8 dhidi ya dunia inayochukua siku (day) 365/366.Labda nauliza swali, Kwa kulinganisha na dunia, jupiter
1: inavyojizungusha na
2: inavyolizunguka
jua Je, huzungukaa haraka kuliko dunia kwenye matukio yote hayo mawili au? NAOMBA NIJIBIWE HAPO KWANZA KABLA SIJAUELEZEA MKANGANYIKO
Ndio kasi yake inashinda duniani kasi kushinda kasi ya dunia?
Mkuu iko speed kwenye matukio yote mawili fuatilia mzunguko wa dunia na Jupiter ukoje alafu chunguza ingekua dunia kwenye mzunguko wa Jupiter with same revolution speed ingetumia muda gani kukamilisha revolution nzimaNgoja nisiongeze wala kupunguza neno,ingia hapa.Jupiter Facts - Interesting Facts about Planet Jupiter
Hapana, haiko speed kwenye matukio yote mawili,ila ya kujizunguusha yenyewe kwenye muhimili wake ndio iko spidi sana inachukua saa 9:55 tu kumaliza wakati dunia utumia 24,lakini kulizunguuka jua inachukua miaka 11.8 dhidi ya dunia inayochukua siku (day) 365/366.
Huko sahihi mkuu,ndio uzuri wa kushiriki maongezi na mtu aliyekisoma na kukielewa kinachoonglewa.Mkuu iko speed kwenye matukio yote mawili fuatilia mzunguko wa dunia na Jupiter ukoje alafu chunguza ingekua dunia kwenye mzunguko wa Jupiter with same revolution speed ingetumia muda gani kukamilisha revolution nzima
Dunia ina " mhimili" wake.Naomba kuuliza je sayari ya dunia mfano huwa inaspin au rotate hapo ktk solar system?yaani inajizunguka yenyewe sio kwamba inazunguka jua?kingine je dunia ktk makarne yote iko hapo hapo haisogei kama kushuka chini au kupanda juu?yaana iko hapo hapo inazunguka tu?
Mhımılı ndo nn?au unataka kusema ımeshıkwa na kıtuDunia ina " mhimili" wake.
Kwa Maelezo.mengine ni dark energy ndio inashikilia kila kitu katika ulimwengu.Dunia huwa inarotate kwenye mhimili wake ndipo tunapata huu usiku na mchana
Dunia bado iko pale pale kwakuwa imejishikiza kwenye mhimili wake (orbit) na ili iweze kubadili position labda igongwe na kitu kizito au ivutwe na kitu chenye gravity kubwa sana
Umeuliza swali zuri sana tena sana na huenda wapo wengi wenye kiwango hiki cha kwako kuhusu haya madude, ila sema hawajapata nafasi ya kuuliza au wanaogopa kuonekana wako nyuma.Natamani nikujibu ila nahofia kwa kiwango chako sijui kama utanielewa,kwani kwa levo yako unatakiwa upate mtu mwenye haiba ya uwalimu la sivyo hutoelewa kitu. Lakini si mbaya kama English hujagombana nayo basi chukua maana yake hapa wamekuwekea hadi picha jinsi inavyokuwa.axisMhımılı ndo nn?au unataka kusema ımeshıkwa na kıtu
Ongea takuelewa hata kwa kıfaransaUmeuliza swali zuri sana tena sana na huenda wapo wengi wenye kiwango hiki cha kwako kuhusu haya madude, ila sema hawajapata nafasi ya kuuliza au wanaogopa kuonekana wako nyuma.Natamani nikujibu ila nahofia kwa kiwango chako sijui kama utanielewa,kwani kwa levo yako unatakiwa upate mtu mwenye haiba ya uwalimu la sivyo hutoelewa kitu. Lakini si mbaya kama English hujagombana nayo basi chukua maana yake hapa wamekuwekea hadi picha jinsi inavyokuwa.axis
No 9 ina ukakasi hasa ukizingatia iko mbali zaidi na jua, ni kubwa kuliko dunia.nilitegemea iwe kinyume.