Ifahamu sayari ya Jupiter

Ifahamu sayari ya Jupiter

Labda nauliza swali, Kwa kulinganisha na dunia, jupiter
1: inavyojizungusha na
2: inavyolizunguka
jua Je, huzungukaa haraka kuliko dunia kwenye matukio yote hayo mawili au? NAOMBA NIJIBIWE HAPO KWANZA KABLA SIJAUELEZEA MKANGANYIKO
Ngoja nisiongeze wala kupunguza neno,ingia hapa.Jupiter Facts - Interesting Facts about Planet Jupiter

Hapana, haiko speed kwenye matukio yote mawili,ila ya kujizunguusha yenyewe kwenye muhimili wake ndio iko spidi sana inachukua saa 9:55 tu kumaliza wakati dunia utumia 24,lakini kulizunguuka jua inachukua miaka 11.8 dhidi ya dunia inayochukua siku (day) 365/366.
 
Mkuu iko speed kwenye matukio yote mawili fuatilia mzunguko wa dunia na Jupiter ukoje alafu chunguza ingekua dunia kwenye mzunguko wa Jupiter with same revolution speed ingetumia muda gani kukamilisha revolution nzima
 
Huko sahihi mkuu,ndio uzuri wa kushiriki maongezi na mtu aliyekisoma na kukielewa kinachoonglewa.
 
Nasikia moon za Saturn's zina chance ya kuwa na uhai, kuna probe moja ilienda huko inaitwa cassini na kuleta picha nzuri za moon mojawapo. Naamini kwenye hizi moons tunaweza pata mahali pa kuhamia.
 
Naomba kuuliza je sayari ya dunia mfano huwa inaspin au rotate hapo ktk solar system?yaani inajizunguka yenyewe sio kwamba inazunguka jua?kingine je dunia ktk makarne yote iko hapo hapo haisogei kama kushuka chini au kupanda juu?yaana iko hapo hapo inazunguka tu?
Dunia ina " mhimili" wake.
 
Dunia huwa inarotate kwenye mhimili wake ndipo tunapata huu usiku na mchana

Dunia bado iko pale pale kwakuwa imejishikiza kwenye mhimili wake (orbit) na ili iweze kubadili position labda igongwe na kitu kizito au ivutwe na kitu chenye gravity kubwa sana
Kwa Maelezo.mengine ni dark energy ndio inashikilia kila kitu katika ulimwengu.
Haha nguvu giza!
 
Mhımılı ndo nn?au unataka kusema ımeshıkwa na kıtu
Umeuliza swali zuri sana tena sana na huenda wapo wengi wenye kiwango hiki cha kwako kuhusu haya madude, ila sema hawajapata nafasi ya kuuliza au wanaogopa kuonekana wako nyuma.Natamani nikujibu ila nahofia kwa kiwango chako sijui kama utanielewa,kwani kwa levo yako unatakiwa upate mtu mwenye haiba ya uwalimu la sivyo hutoelewa kitu. Lakini si mbaya kama English hujagombana nayo basi chukua maana yake hapa wamekuwekea hadi picha jinsi inavyokuwa.axis
 
Ongea takuelewa hata kwa kıfaransa
 
Ongea takuelewa hata kwa kıfaransa
Ingia kwenye hiyo link niliyokupa utajifunza mengi zaidi,maana wameweka hadi picha kama lugha haipandi utaelewa kwa picha zilizowekwa hapo.
 
No 9 ina ukakasi hasa ukizingatia iko mbali zaidi na jua, ni kubwa kuliko dunia.nilitegemea iwe kinyume.

Mkuu kutokana na ukubwa wa sayari hii, ni dhahiri uzito wake ni mkubwa sana hivyo kusababisha kasi ya kuzunguka jua kuwa kubwa na hatimae kukamilisha mzunguko wake ndani ya saa 9 tu. Ukilinganisha na dunia yetu saa 24.
 
uko kwenye Jupiter na sayari zingine hakuna mwenzi uliopewa jina la AFRICA , maana kuna Europa na majina ya kufanana na yakizungu
 
Back
Top Bottom