Ifahamu sayari ya Jupiter

Mkuu nimependa maelezo yako.
Nina maswali machache kama ifuatavyo;

Mwezi uizunguka sayari na sayari yetu inazungukwa na mwezi mmoja tu kama ulivyosema hapo, sasa je hata sayari zingine zilizobaki nazo uzungukwa na mwezi mmoja mmoja pekee au kma ilivyo dunia?

Alafu pia hizi habari za kuhusu mwezini nimeshaskia contradiction nyingi sana, hivi kweli kuna binadamu aliwahi kufika mwezini au ni hoax tu?
 
Hivi ndivyo vitu vya kuletwa huku sio kila siku TULIA TULIA TULIA alaaaa!!!!!
Tulia kuna forum zake ambazo ukizitembelea hakwepeki.

Ila huku ni jukwaa lingine kabisa lisio husiana hata kidogo na hizo habari za Tulia na ukiona mtu amekuja kutupachikia huku habari za Tulia, huyo kavunja utaratibu mzima wa matumizi ya jukwaa na anastahili kuchukuliwa hatua stahiki labda awe ni mgeni humu
 
Asante kwa maswali yako nami nitakujibu kadri ya NIJUAVYO MIMI, mbona ni vyombo vingi sana vimeshaenda huko,ikiwa wameweza kutuma chombo sayari ya Mars,zaidi ya vyombo 18,Jupiter zaidi ya 3 n.k itashindikana vipi hapa karibu tu ...... na kuhusu hilo swali lako hapo juu,sayari zote zenye miezi(moons) huzunguukwa nayo yote kama kwenye mfano huu wa sayari ya Jupiter, japo hapa inaonekana miezi michache lakini ni miezi yake yote 67 huzunguuka ktk njia yake
 
Sayari yetu inazungukwa na mwezi mmoja,(1moon),but sayari ya Jupita inazungukwa na miezi minne (4mooons),ziligunduliwa na astronomer Galileo mwezi Jan.1610 kwa kutumia stelescope aliyoitengeneza mwenyewe.
 
Bila shaka ile Nibiru a.k.a Planet X itavutiliwa mbali na Jupiter na Sisi tukasalimika!
 
so what happens for the bodies, are they destroyed (broken down) or magneted (kunasa) on the jupiter's surface?
 
Bila shaka ile Nibiru a.k.a Planet X itavutiliwa mbali na Jupiter na Sisi tukasalimika!
mh....kama ikishindwa kunaswa na nguvu ya electromagnetic...maaana sayari nyingine zimeumbwa kwa gesi, / au Barafuu
 
Kuna ishu ya ukubwa (volume) na uzito (weight). Kwa ukubwa, unahitaji zaidi ya dunia 1000 kuijaza Jupiter. ila kwa weight Jupiter ina density ndogo kwa sababu ni gas giant. Check vizuri na mwanao

Wakati anamcheki ajiandae kutumia na kukutana misamiati ya Ujazo,Ujazo nene, Tungamo na kani ili apate kueleweka vizuri na mtoto
 
uko kwenye Jupiter na sayari zingine hakuna mwenzi uliopewa jina la AFRICA , maana kuna Europa na majina ya kufanana na yakizungu

Waafrika bila shaka na wao tukigundua mwezi wowote tutakuwa na haki ya kuuita jina letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…