The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Mwaka wake ni siku ngapi?Ishu sio umbali kutoka jua, ishu ni speed ya kujizungusha kwenye muhimili wake (spinning). Lakini kumaliza kulizunguka jua (revolution) umbali unahusika sana. Ndio maana Jupiter year ina siku nyingi sana za duniani