Kwa utafiti uliofanywa na wanasayansi hususan wa kipengele cha anga unaonesha kwamba hamna kiumbe chochote kinachoisgi humo kwani kuna volume kubwa ya carbondioxide 96% hali isiyoruhusu kiumbe chochote kuishi humo. Nadhani tupo sawamkuu [HASHTAG]#komagunda[/HASHTAG]Asante kwa kutuelimisha. Zamani walituambia watu wa huko ni wajano na macho yao yako kisogoni ni kweli? mwenye ufahamu atujuze.
Imposible kwa marsTafiti zipo na zinaendelea na ndo moja ya sababu ya uwepo ISS mpaka kufikia 2030 kuna uwezekano wa kufanya manned mission to mars, wenzetu hawalali hawa kila siku wanaumiza vichwa.
Tofauti kati ya Venus na Jupiter ......Venus huwa inaonekana 2 baada ya jua kuzama upande wa magaribi na huwa inakuwa ktk nyuzi 45 mpaka 60 na huwa ina ng'aa sana kuliko ata nyota na ningumu sana kuiona sayali ya Venus utosin au ktk nyuzi 90.......lakini Jupiter inang'aa likini si kwakuifikia venusi ktk kung'aa lakini Jupiter sometime huwa inaonekana utosini au nyuzi 90 unapokuwa ukiitazama .pia utaigundua kwa ukubwa wake........ko nazan utofauti kati ya Venus upo ktk position, size,bright ness,,, kama nilivyo elezea mwanzoAsante sana.
Je nawezaje kutofautisha kati ya Venus na Jupiter kwa kuangalia kutoka duniani wakati wa usiku kwa kutumia macho?
Je Mars inaonekana nyekundu kweli kwa macho?
Je? Mercury inaonekana kwa macho alfajiri?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mh kwa hiyo nikienda huko nakonda ghafla ?
Nina mashaka na huu utafiti. Mars haina atmosphere hii carbon dioxide imetoka wapi? Kama ni kweli hiyo gesi ipo huko kwa uwingi huo basi itakuwa ni sayari yenye joto kubwa kuzidi zoteKwa utafiti uliofanywa na wanasayansi hususan wa kipengele cha anga unaonesha kwamba hamna kiumbe chochote kinachoisgi humo kwani kuna volume kubwa ya carbondioxide 96% hali isiyoruhusu kiumbe chochote kuishi humo. Nadhani tupo sawamkuu [HASHTAG]#komagunda[/HASHTAG]