1. Kuna mlima mlefu san a unaitwa Olympus una kilometer 20's ndiyo mlima mlefu ktk mfumo wa jua 2. inaitwa red planet kwa jina lingine kutokana na rangi yake kama chuma kilichopata kutu pia huwa inaonek ana kama imefifia kutokana na rangi yake nyekundu.................. Pia ni sayari yenye kuvutia sana kutokana na kuwa na mazingira yanayofanana na apa duniani, kama vile nyika,mabonde makubwa ,utofuti ni kwamba mars haina dalili kama ishawai kuwa na maji .........cha mwisho muhimu ni kwamba mars ni sayali pekee angalau mwanadamu anaweza kuikanyaga kama atapata nafasi pekee ya kufika kutokana na uwepo wa ardhi kama ya dunia, wakati w mchana jotolinafikia -50c ,lakini ina huaba wa oxygen .....lakini uko venus, Pluto,Neptune, sizani kama mtu atakuja kufikilia kwenda ktk hzo sayali[emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji15] [emoji30] [emoji29] [emoji20]