Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Mwezi huu wa July , sayari zionekanazo kwa macho makavu ni Venus, Mars, Jupiter, Saturn na kwa taaabu ni Uranus zikiwa zimejipanga kwenye mstari mmoja kila moja ikizama magharibi kwa wakati wake, Venus @ 1900hrs +-, Mars @ 0300hrs +-, Jupiter @ 2250hrs +-, Saturn @ 0415 hrs +-, Uranus @ 1300 hrs +-.
Ngoja ning'arishe macho angani leo, mwalimu wangu wa geography sijui kama anajua hilo. Ila huo muda wa kuiona Saturn ni mtihani