Mwezi huu wa July , sayari zionekanazo kwa macho makavu ni Venus, Mars, Jupiter, Saturn na kwa taaabu ni Uranus zikiwa zimejipanga kwenye mstari mmoja kila moja ikizama magharibi kwa wakati wake, Venus @ 1900hrs +-, Mars @ 0300hrs +-, Jupiter @ 2250hrs +-, Saturn @ 0415 hrs +-, Uranus @ 1300 hrs +-.
Ngoja ning'arishe macho angani leo, mwalimu wangu wa geography sijui kama anajua hilo. Ila huo muda wa kuiona Saturn ni mtihani
Kwani nyota huonekana Musa gani?Mida gani ninaweza kuiona
Swali
Kwa nini siku ya saturn iwe fupi kuliko duniani?
Swali kwanini hiyo sayari INA rings na na hizo rings inaisadia nini hiyo sayariKwa sababu Saturn inajizungush kwa kasi zaidi kwenye muhimili wake (rotation)
Swali kwanini hiyo sayari INA rings na na hizo rings inaisadia nini hiyo sayari
Sawa Mkuu nimekupataHizo rings ni vipande vya rocks na mabarafu, haijajulikana chanzo chake ila theory zinasema kuwa huenda moons zilizojaa barafu ziligongana zamani na vipande vyake kutawanyika. Sababu ya kukaa hivyo ni universal laws of physics, kuna sababu nyingi ikiwemo centrifugal force, gravitational force, na density ya hivyo vipande vya rocks na ice. Is all about equilibrium of forces, Kwa ufupi hazina msaada wowote kwa Saturn, Ngoja wadau waje