Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

Swali la kizushi.

Kuna ukweli kwamba GPA chini ya 3.5 hawasijisumbue kuappy??
Sio kweli.

PSRS wanawapima watu kwa interview na wala sio marks walizopata huko mavyouni.

Kwenye interview si ajabu mtu mwenye Pass akapata kazi mbele ya mtu aliyepata First class GPA.

Japokua kuna baadhi ya kada kama Teaching staffs,Tutors..n.k huwa wana consider GPA Kama kigezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli.

PSRS wanawapima watu kwa interview na wala sio marks walizopata huko mavyouni.

Kwenye interview si ajabu mtu mwenye Pass akapata kazi mbele ya mtu aliyepata First class GPA.

Japokua kuna baadhi ya kada kama Teaching staffs,Tutors..n.k huwa wana consider GPA Kama kigezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante umenitoa tongo.

Nilimaliza Harvard Nina gentman pass
 
Kwasasa naona hamna Written interview tena,, zimebaki lga & Mda tena ni baadhi ya kada hiz nadhani zitaitwa mwakani
Yeap kwa sas naona utumishi nao watahitaji kupumzika kuhusiana na written huku wakija na Ari mpya hapo mwakani
Ingawa kwa sasa ingepaswa kubalance kwa kutoa majina ya Placement kwa walio fanya Oral Interview
 
Naomba kuuliza kuna post niliapply, nikafanikiwa kuingia oral na niko nasubiria pdf nijue kama niko au lah. Sasa kwenye tangazo la kazi, GPA haikutajwa kama requirement ila scale ya mshahara kwenye hiyo post ni PUTS 1.1. Naambiwa hiyo ni scale ya academicians yani kwa tutorial assistants. Na maswali ya kwenye oral, yapo ambayo yalihitaji uelewa wa mtu kwenye namna ya kudeal na wanafunzi. Nauliza je nitaweza kupata hiyo kazi kama nilijibu vizuri oral hata kama scale ya mshahara ni ya wakufunzi na GPA yangu ni pungufu? Au ndio nitachinjiwa baharini?
Hahahaha ungeacha kuwasanua nawewe, kama kuna hiyo loophole basi warekebishe sysyem yao.

Sasa kama hadi umepiga oral bila GPA kutazamwa kwenye cheti basi ni hatari.
 
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010.

Majukumu ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni;
  • Kutafuta wataalamu wenye ujuzi maalum na kuandaa mfumo wa kuhifadhi taarifa (kanzidata) za wataalamu hao ili kurahisisha utaratibu wa kuwaajiri pindi wanapohitajika;
  • Kuandaa orodha ya wahitimu wa Vyuo Vikuu na wataalamu wenye weledi kwa madhumuni ya kurahisisha rejea na ujazaji wa nafasi wazi za ajira katika Utumishi wa Umma;
  • Kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma;
  • Kuhusisha wataalamu maalum kwa ajili ya kufanya usaili kulingana na mahitaji;
  • Kutoa ushauri kwa waajiri kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na ajira; na
  • Kufanya kazi nyingine yoyote inayoendana na majukumu yake kadri itakavyoelekezwa na Waziri.
Mbona hamtoi matokeo ya TRA written
 
Back
Top Bottom