Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

Swali la kizushi.

Kuna ukweli kwamba GPA chini ya 3.5 hawasijisumbue kuappy??
Sio kweli.

PSRS wanawapima watu kwa interview na wala sio marks walizopata huko mavyouni.

Kwenye interview si ajabu mtu mwenye Pass akapata kazi mbele ya mtu aliyepata First class GPA.

Japokua kuna baadhi ya kada kama Teaching staffs,Tutors..n.k huwa wana consider GPA Kama kigezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante umenitoa tongo.

Nilimaliza Harvard Nina gentman pass
 
Kwasasa naona hamna Written interview tena,, zimebaki lga & Mda tena ni baadhi ya kada hiz nadhani zitaitwa mwakani
Yeap kwa sas naona utumishi nao watahitaji kupumzika kuhusiana na written huku wakija na Ari mpya hapo mwakani
Ingawa kwa sasa ingepaswa kubalance kwa kutoa majina ya Placement kwa walio fanya Oral Interview
 
Hahahaha ungeacha kuwasanua nawewe, kama kuna hiyo loophole basi warekebishe sysyem yao.

Sasa kama hadi umepiga oral bila GPA kutazamwa kwenye cheti basi ni hatari.
 
Mbona hamtoi matokeo ya TRA written
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…