Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

Jamani kuna mtu anaweza kunipa msaada wa afisa utumishi yoyote wa Dodoma?Nimechoka nimepiga simu zao tokea asubuhi hazipokelewi......Nyingine napiga hazipatikani, nimeenda ofisi yao ya pale Kivukoni sijapata msaada wowote ule zaidi ya kujibiwa kuwa hawapo wamehamia dodoma na anayehusika kwa hapo kivukoni nae kasafiri yupo mkoani so hakuna huduma

Nimechoka sana nimepoteza nauli muda na kila kitu simu hawapokei, sms hawajibu, emails hazijibiwi, Dm hawajibu! sasa nafanyaje jamani mimi na shida yangu inatakiwa itatuliwe kwa haraka sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 

Mkuu,
Huwa wanapokea simu na kujibu sms, pia usisahau Wenye changamoto niwengi, na kila mtu anapiga simu kwa wakati mmoja, hivyo simu zao zinakuwa busy. Wapigie siku za kazi changamoto yako wataitatua na watakujibu, vuta subr kidogo.
 
Mbona Database ya TRA mmeipiga chini mpaka wanaajiri wenyewe...
Hamuoni mnapoteza Iman kwa tusio na connection
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Kwanini mmewatengenezea ulaji mawakili na wanasheria?? Kuna ulazima Gani wa kutoa copy cheti then uende Kwa mwanasheria/wakili afu urudi ku scan cheti. Huoni ni mlolongo na mazingira ya upigaji tu Kwa wanasheria/mawakili?. Ondoeni hicho kigezo kama hakuna ulazima
 
Unaelewa Maana ya Maneno haya CERTIFIED TRUE COPY OF THE ORIGINAL'?
 
Unaelewa Maana ya Maneno haya CERTIFIED TRUE COPY OF THE ORIGINAL'?
Naelewa. Lakini msingi wake ni huo huo tu wa kuwatengenezea mawakili/wanasheria ulaji. Kuna ulazima Gani wa kuwafanya watu waingie gharama zote hizo???
 

Habari ndugu wananchi wa mikoa ya​

ARUSHA na KILIMANJARO...,​

Kwa mahitaji ya...,​

1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) ,​

2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA ,​

3. Fremu za biashara KWA MIJI YA MOSHI na ARUSHA ,​

4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka​

4.1 Ofisi za taasisi,​

4.2 GODOWN ,​

4.3 KARAKANA (WORKSHOP) ,​

4.4 Sehemu au Jengo la kila aina ya shughuli za kiuchumi 5.MASHAMBA Kwa ajili ya kilimo , ufugaji​

6.Viwanja kwa ajili ya makazi vipo​


kwa MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI..​

0672701329/0756294771​



DALALI Lexus SUV
 
Mfumo una zingua ajira za afya,Nina diploma naomba kazi ya diploma naambiwa Failed
Ishu sio diploma tu bali inatakiwa diploma sahihi kwa kada /nafasi unayoomba,usiombe maabara wakati una diploma ya unesi😀 pitia vizuri sifa za nafasi unayoomba
 
Kazi yenu ni nzuri na Bora sana PSRS Mbarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…