Ifahamu Sheria ya Makosa ya Mtandaoni (cybercrime act)

Ifahamu Sheria ya Makosa ya Mtandaoni (cybercrime act)

Joined
Aug 22, 2018
Posts
16
Reaction score
26
Mwanasheria Emmanuel Ukashu amefanya ‘Risachi’ akichambua Sheria ya Tanzania ya Makosa ya Mtandaoni (Cybercrime Act) ya Mwaka 2015: Uelewa wa jamii juu ya Sheria hiyo. Kuifahamu vizuri Sheria hiyo na mipaka yake, makosa yaliyoainishwa kisheria, na nini kifanyike kuepuka kesi zinazoweza kusababishwa na matumizi yaliyo kinyume cha Sheria ya Makosa ya Mtandaoni. Tazama mahojiano aliyofanya na The RISACHI kwa kubonyeza linki ifuatayo The RISACHI _ S01E05 with Emmanuel Ukashu
 
Back
Top Bottom