Ifahamu sumu aina ya cyanide katika mihogo na majani yake

Ifahamu sumu aina ya cyanide katika mihogo na majani yake

Analeta tu siasa.Coca Cola content ni ile ile na inauzwa dunia nzima-sasa ingekuwa na madhara si dunia ingeshaipiga vita
Coco na fanta za hapa kwetu ni tofauti na

za Ulaya mkuu... ...

Sisi huku ni under licence...kutokea South..

Fanta zetu zinatengezwa kwa mafuta ya

wanyama wakati zao USA... Wanatengeza

kwa mafuta ya mimea...ili zisijichuje rangi.
 
Coco na fanta za hapa kwetu ni tofauti na

za Ulaya mkuu... ...

Sisi huku ni under licence...kutokea South..

Fanta zetu zinatengezwa kwa mafuta ya

wanyama wakati zao USA... Wanatengeza

kwa mafuta ya mimea...ili zisijichuje rangi.
Mimi nimeshawahi fanya kazi Coca Cola, hvyo naelewa ninachokiandika.Usiongelee mambo yasiyo ya kweli.
 
hizi tafiti uchwara hizi kazi yake ni kuwaogopesha watu tuuu, babu na bibi yangu walikula sana kisamvu na mihogo na udaga na wakaishi Zaidi ya miaka 90!, leo hii mpumbavu mmoja anakuja na ki research chake uchwara anaanza kuwaogopesha vijana ( na kwa bahati mbaya vijana nao wwanaingia woga bila hata kuapata ukweli) ……………… sijui kwanza anajua kama cynide ni 'nuclear chemical' hata kama ni kwa kiwango kidogo…
 
Kuna ile mihogo walikuwa wakiita lumara wakati imekuja iliua watu waliofanya ukaidi kuichemsha badala ya kuitumia kupikia ugali
 
Hydrogen cyanide huwa ina dissolve kirahis sana kwenye Maji pia inategemea na Aina ya ardhi and above all hatar ya muhogo kuua n ndogo Sana yan Sana
 
Back
Top Bottom