Coco na fanta za hapa kwetu ni tofauti naAnaleta tu siasa.Coca Cola content ni ile ile na inauzwa dunia nzima-sasa ingekuwa na madhara si dunia ingeshaipiga vita
Mimi nimeshawahi fanya kazi Coca Cola, hvyo naelewa ninachokiandika.Usiongelee mambo yasiyo ya kweli.Coco na fanta za hapa kwetu ni tofauti na
za Ulaya mkuu... ...
Sisi huku ni under licence...kutokea South..
Fanta zetu zinatengezwa kwa mafuta ya
wanyama wakati zao USA... Wanatengeza
kwa mafuta ya mimea...ili zisijichuje rangi.