MAGARI7
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 2,401
- 1,303
Wasalaam,
Leo ningependa kuiongelea kidogo gari tajwa hapo juu ambayo ni miongoni mwa gari pendwa kwa wengi kutoka kwenye kampuni ya Toyota.
Toyota Allion ni gari ndogo (sedan/saloon car) yenye ukubwa wa katikati. Ilitambulishwa sokoni mnamo mwaka wa 2001.
Kwa sasa, Toyota Allion nyingi zinazotumika sehemu nyingi haswa Tanzania, ni kizazi chake cha pili, (Toleo la pili) ambayo inakupa powertrain yenye nguvu pamoja na nyongeza nyingi zitakazokufanya uipende Toyota Allion yako.
Toyota Allion zote ambazo zinatumika sehemu nyingi, haswa Tanzania, zinakua na Petrol engine na Vile vile Toyota Allion, zote hutoa ujazo (cc ) sawa tu kwa vizazi vyote viwili, lakini liliboreshwa upya mwaka 2007.
Ukubwa wa Engine 1,497cc
I4 yenye uwezo wa 109 bhp (Brake horsepower) na 141 n-m (newton metre) ya torque.
Na aina ya pili ya ujazo wa injini pamoja na ubora wake ni kama ifuatavyo.;
Ukubwa wa injini (cc) .... 1,785cc
Brake horsepower ..... 138 (bhp)
Newton Metre Torque ..... 195
Injini kubwa kabisa ndio hii yenye ukubwa wa 1,787cc, 138bhp pamoja na 195 torque.
Toleo la kwanza la Toyota Allion, imeundwa na gearbox ya automatic yenye spidi 4, au CVT gearbox, lakini, baada ya toleo la 2007, chaguo pekee la gearbox ni gear box yenye mfumo wa CVT.
UTUMIAJI WA MAFUTA:
Toyota Allion, ni moja kati ya gari bora kabisa zinazoundwa na kampuni ya Toyoya. Wengi wanazipenda haswa linapokuja suala la utumiaji wa mafuta, toyota allion inaweza kwenda hadi kilometa 18 kwa l (18km/L) kulingana na mfumo wa gearbox. hii ni moja ya sababu, gari hii ikatokea kupendwa na watu wengi ulimwenguni kote.
Ikiwa utahitaji nawe Toyota Allion, unaweza kuni pm au ukanitumia email .. bei zake zinaanzia 11,800,000 ( Mpaka barabarani )
For more info, unaweza nitumie email hapa
( ecarstanzania@gmail.com )
(PICHA KWA HISANI YA MTANDAO)