Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ni moja ya gari ngumu sana pia nmeshuhudia uimara wake kwenye barabara mbovu. ππToyota Rush ni gari aina ya SUV ndogo (compact SUV) inayotengenezwa na kampuni ya Toyota Rush. Inajulikana kwa kuwa ya familia, yenye nafasi na uwezo wa kuhimili barabara mbaya.
Sifa kuu za Toyota Rush
- Injini ya petroli ya 1.5L
- Ina uwezo wa kubeba abiria 7
- Ground clearance kubwa (huisaidia kwenye mashimo na barabara zisizo sawa)
- Matoleo mengi yana magurudumu ya nyuma (RWD)
- Inajulikana kwa uimara na gharama ndogo za matengenezo
Faida zake
- Inafaa familia kubwa
- Matumizi ya mafuta yako wastani
- Rahisi kutunza na imara
- Inapita vizuri kwenye barabara mbaya
Hasara
- Sio gari la kasi au nguvu kubwa
- Safu ya nyuma (third row) ni ndogo kwa watu wazima
- Haijaboreshwa sana kwa starehe kama SUV kubwa
"Umisahau tupicha Mwanawane"
πππHakuna gari humo. Bora ununue Rav4 Old.
Ila wakuu tutafute pesa.Ni moja ya gari ngumu sana pia nmeshuhudia uimara wake kwenye barabara mbovu. ππ
Ila wakuu tutafute pesa.
Ukifanikiwa kuwa na ka Prado kako hata TXL tu hautatamani kuwa na hiyo Rush.
Umeshuhudia au umeendesha mkuu, samahani lakiniNi moja ya gari ngumu sana pia nmeshuhudia uimara wake kwenye barabara mbovu. ππ
Hata Toleo Jipya Ni Bure Gari Speed 200 Lakini Inanguruma Kama Ndege NyukiHakuna gari humo. Bora ununue Rav4 Old.
Engine yake ni 1NZ-FE ni ngumu Sana alafu kumbuka hii gari sio CVT transmission.Uchambuzi mzuri, watu wengi wanalalamika injini ya hiyo gari kimeo. Hasa ikifika KM 100,000 kuendelea.