Ifahamu USSR (Urusi) iliyokuwa dola-himaya na miliki kuu ya saba ya dunia

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
351
Reaction score
887
USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM).
fb6b9ac240c67187d8b38fb0dcb3a058.jpg

Na, Comred Mbwana Allyamtu.

URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian Empire Kabla ya kuja kuitwa USSR na baadae Russia. Haikuwa na eneo kubwa huko mwanzo kama unavyoliona sasa.Urusi ilitawaliwa kwa zaidi ya miaka 300 na familia ya RAMANOV ambayo utawala wake ulifikia kikomo mwaka 1917 baada ya mapinduzi matakatifu ya wafanyakazi na wakulima na makubwa ya wakomunisti...kihistoria mfalme anayekumbukwa kuipanua urusi kuwa kubwa mara mbili anaitwa "Czar Peter the grea"t au St.Peter kama ambacho baadae mji wa St Petersburg ulivyo kuja kipewa jina kwa heshima yake.

Urusi ilikuwa na nguvu kwa miaka mingi kijeshi kwasababu ya ukubwa wake,rasilimali nyingi na hali yake ya kijeografia ambapo ni baridi sana utoweza kuruhusu wageni kuvamia kirahisi mfano mzuri ni pale ambapo mfalme Napoleon Bournaparte wa Ufaransa alivyoivamia na jeshi la watu kama laki sita hivi mnamo miaka ya 1800's na kupigwa vibaya na mfalme Alexander wa Urusi ambapo aliiamuru miji yote ichomwe moto na kisiachwe chakula ili wafaransa wakija wapigwe na baridi kali ili wafe na kwa bahati nzuri ilitokea hivyo.kadiri miaka ilivyoendelea Urusi ikaanza kuwa dhaifu kwasababu ya mfumo wa Feudalism ambao uliruhusu rushwa na utawala wa watu wachache juu ya wengi walio maskini,kumbuka urusi ni moja ya rainbow states since ina multiple ethnical groups,kama Caucasian,jews,mongols etc.

Urusi ilijiingiza kwenye struggle for power mnamo miaka ya 1800's hadi 1900's na matifa ambayo ni madogo kuliko yeye lakini yalikuwa tayari yamesha fanya mabadiliko ya kiviwanda kuliko yeye hivyo kupelekea kushindwa vita hata na kitaifa kama Japani na Uturuki.Mnamo miaka ya 1914 ilitokea vita ya dunia ambapo mfalme wa Urusi bila kufikiria aliliingiza taifa la Urusi vitani kisa kulinda tu heshima yake,wakati huu Urusi ilikuwa haina silaha za kutosha na za kisasa kama automated rifles,aircrafts,tanks and submarines hivyo alitegemea sana silaha kutoka kwa Muingereza,..Mrusi alijiunga na muingereza na Mfaransa kuwapiga adui na majirani zake Germany Empire,Uturuki kipindi hicho ni Ottoman Empire na Austria.Warusi wengi kama 4million walikufa hivyo kuifanya Urusi kuwa Taifa maskini sana na chovu kuliko yotee ulaya.

VUGUVUGU LA MAPINDUZI LAANZA
Mnamo mwaka 1917 mfalme wa Urusi alianza kuua wanaharakati ambao walitaka asitishe vita na kufanya mabadiliko ya kimfumo,watu kama Vladmir Lenin walikuwa exiled (nje) ambapo alirudi mwaka 1917 kuendesha mapinduzi makubwa ya kikomunisti ambayo yalipelekea Civil war hadi mwaka 1919 ambapo mataifa mengi dunian hayakupenda ukomunisti hivyo yakasupport wapinzani wa Lennin ila walishindwa. Baada ya mapinduzi ya chama cha Bolsheviks ambacho kilijiita chama cha watu wote wa tabaka la chini kama wakulima na wafanyakazi wa aina zote waliokua wakifanya kazi ndani ya serikal ya Tsar au zar au emperor au kwa kiswahili fasaha ni "Mtawa" ambao waliokua wanatawala dola ile ya Urusi toka miaka ya 1880 na 1894 ambao walibadilisha fikra za watu wa Urusi ambao akili zao ziliamka kwa ajili ya kudai haki kwa ajili ya mabadiliko.

•MWANZO WA HARAKATI
Kabla ya Vladimir Lenin na marafiki zake wakubwa wawili Joseph Stalin na Leon Trotsky ambao walizaliwa mwaka mmoja 1879 tayari mapambano katika nchi ya Urusi yalikua yameanza mda kudai Uhuru wa watu ambao walikua wakiteswa na tawala ya serikal ya Alexander lll ambapo yeye aliondoshwa madarakan mwaka 1894 na kufanya czar Nicholas ll aingie madarakan kwa kuitawala Urusi hivyo watu pia waliendelea kudai haki zao kwani nae aliwanyanyasa watu wa tabaka la chini.

•AWAMU YA I YA MAPINDUZI YA MWAKA 1905

Mwaka huo watu wa jiji la Petrograd waliandamana katika kasri la mfalme Alexandre ll kwa ajili ya kudai haki zao lakn walipigwa risasi na kadhaa kujeruhiwa na wengne kuuwawa hivyo watu kushindwa kufanya mapnduzi uko urusi . Mwanzo wa 1914 Wakati vita ya kwanza inaisha urusi ilikua upande wa allied yana katika shirikisho la nchi zilizokubaliana kuisaidia kijeshi Uingereza, Ufaransa, n.k Ujerumani walivamia baadhi ya sehemu za Urusi ya zamani na sehem kadhaa ambapo vikosi vya Urusi vilipigwa vibaya na Wajermani hadi mwaka 1916 Warusi zaidi ya 50000 walikua either wameuawa au wamejeruhiwa na kupotea (missing in action) sababu za kushindwa kwa vita hii.

kwanza kutojiandaa kivita ambapo hawakua na silaha za kutosha mda mwingne walitegemea za watu waliokufa kivita zaidi APA (tazama enemy at the gate) hivyo walipata gharama kubwa za maandalizi na kufanya watu maisha yapande.

Pili ni vyakula Vingi kupelekwa kwa wanajeshi kukosa chakula mavazi na kadhalika hivyo kumfanya mtwawa Alexandre ll kuingia kama command person na madaraka kumuachia mke hapo lilikua kosa kwake kwan kwa mda huo alishindwa kutawala vyema na vitendo vya rushwa kuongezeka na watu ikiwa ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha kama kutokuwepo kwa vyakula hasa jiji la Petrograd na kufanya watu waanze kuunda fikra za mapambano na kufufuka dhana ya mapinduzi iliyokuwa imeshidwa mwaka 1905 waongeze mapambano hasa kuanza kuundà vyama vya Kijamaa kwa kufuata dhana ya Karne Max.

•MAPINDUZI YA PILI FEBRUARY 1917

Kwa wakati huo Urusi walikuwa wakitumia calendar iliyokuwa inayoitwa Julian ambayo kimsingi ilikua haendi sawa na nchi nyingne mwezi wa pili wa mapinduzi yaliyomng'oa Nicholas ll na kufanya kijana mdogo anayeitwa "Alexander Kerensky" apewe serikal ya mda lakin naye nchi ilionekana kushindwa kutawala kwa kutokua na mfumo mzuri wa kitawala

•MAPINDUZI YA LENINGRAD (LENINGRAD REVOLUTION) OCTOBER 1917

Mapinduzi ya October 1917 toka February hadi October Lenin alirudi Petrograd kupitia Ujerumani na kuingia Urusi kuongoza kusonga mbele kwa chama cha Bolshevik kwakua Lenin aliingilia mji wa "Petrograd" hivyo Basi Mapinduzi hayo ylipewa jina la "Leningrad" kwa maana ya (mji wa Petrograd na Lenin) hivyo Basi pamoja na Lenin kuingia Urusi alianza kukusanya wanachama na wengi zaid hadi September alikua na member 200000 mapinduzi ya oktoba waliomwondoa mtawa Alexander Kerensky na Vladimir Lenin kuingia madarakan kupitia chama cha Bolsheviks ambapo alisaini mkaba kuziachia baadhi ya nchi ziwe huru kama Poland Finland n.k. Makao makuu ya chama cha Bolsheviks yalihamia Moscow kutoka Petrograd maarufu kama St.Petersburg city sasa 1918 na sasa Lenin alianza kukumbana na changamoto za kiutawala kama kuibuka kwa migogoro ya ndani ( civil war) mwaka 1918-22 Watu walikua na ushirikiano mkubwa sana kwa Lenin na walikua na kikosi chao cha red guard ambapo 1919 red army iliundwa rasimi kama kikosi cha umma na Leon Trotsky aliteuliwa kuwa general secretary jeshi hilo la umma pia Ukraine ilipewa hukumu maalumu ilijulikana kama Green army kwa ajili tu ya kusaidiana na Lenin nchi kama USA, UK, Japan na France walitoa misada ya kijeshi kwa white army kupigana na Bolshevik part lakn sapoti aliokua nayo Lenin alishinda vita hio mwaka 1922 ikawa imeisha huku Urusi yote ikawa Chini ya chama cha Bolshevik.

KUUNDWA KWA DOLA LA USSR

Kabla ya hapo urusi ilijulikana kama RSFSR 1917 yan (Russian soviet Federal socialist republic) ambapo neno "Soviet" lilitolewa kutoka kwenye chama cha "Petrograd Soviet council" ambapo neno "Soviet" linamaana ya "council" kwa Lugha ya kingeleza yani "Baraza" kiswahili kwa matiki hiyo na ndipo kutokana na kuwepo kwaa vyama kadhaa vya kijamaa wakaunda umoja huo RSFSR na hatimye mwaka 1922 ndipo USSR (Union of Soviet's socialists republic) ikaundwa na pia ilijulikana kama "Soviets union" Urusi chini ya Lenin na ukomnisti iliweza kuunda nchi inayoitwa USSR au The UNION OF THE SOVIET SOCIALIST REPUBLICS au CCCP,ambayo iliweza kuanzisha ujamaa ambao kwanza uliwaunganisha warusi wote kwasababu walikuwa na uchumi sawa na hali sawa, pili iliwekeza sana kwenye elimu na pia mwisho jeshi la Urusi lilikuwa linaanza kufundisha watoto wakiwa na umri wa miaka 6.Lenin aliunda mifumo ya kipelelezi iliyoitwa Cheka, NKVD na GRU hivi ndivyo vyombo vilivyoifanya Urusi iwe leo unavyoiona.

Kwa bahati mbaya Mwaka 1924 Lenin alifariki dunia kwa ugonjwa wa kupooza (Stroke) na dola lilokuwa chachu na chimbuko la Usoshalist duniani likawa limempteza Baba Wao na muasisi wa ujamaa. Na ndipo akaingia raisi anayeitwa Joseph Stalin ambaye alikuwa ni dikteta na kiongozi hodari katika historia ya ustawi wa USSR ambaye alivitumia vyombo hivyo kuua maadui wa ukominist wa Urusi na kuiba technolojia ya mataifa ya magharibi na kuiletea Urusi.1939 dunia iliingia vitani tena ambapo Urusi ilionyesha umahiri mkubwa saana kijeshi baaada kumshinda Hitler alipoivamia Urusi hapa napo walifanya tena kama kwa Napoleon walikimbia kuelekea Red Square ili Wajerumani wadhani kwamba warusi hawana nguvu kumbe walikuwa wanasubiri winter ianze ili baridi iwasaidie.

Now sasa the second world war came to an end in 1945 ambapo the Super power Germany Empire iliyokuwa inapambana na Great Britain walikuwa wamechoka vibaya sana kiuchumi hivyo Marekan kama taifa ambalo lilokuwa limeimalika kiuchumi na kiviwanda likajikuta sasa Lina ushawishi mkubwa katika dunia na pia likaitajika kuukomboa Ubepari uliokuwa umedidimia. Huku upande mwingine himaya ya USSR ikajikuta ndiyo taifa leyenye nguvu duniani (world Super-Supremacy empire). kumbuka mrusi na marekani ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia berlin walianza kufanya sabotage na assassinations za Nazi leaders lakini kikubwa walichokifanya GRU ya Urusi ni kuwateka scientists wa nazi na kurudi nao urusi huku na marekani alikuwa akifanya vivyo hivyo.Marekani aliiba project kubwa sana ya Ujerumani na kuipa jina la The Manhattan Project ambapo ilipomalizika we all know what happened to Hiroshima na Nagasaki.Mwaka 1945 raisi Franklin Delano Roosevelt alifariki dunia na kumwachia madaraka makamu wake mwendawazimu aliyeitwa Harry S Truman ndiye aliyeruhusu mabomu ya atomic code Name "FAT MAN na THE LITTLE BOY" kuangushwa pale japan.USSR under Joseph Stalin hawakukipenda kile kitendo provided that Japan aliisha surrender na viongozi wake kama General Hedaki Tojo na Sugiyama walikuwa wamejiua.

USSR alitumia mwanya wa vita ya pili kujitanua ambapo nchi kama poland,Georgia,Kazakhstan,Ukraine,East Germany na vijitaifa vya Eastern Europe vilimezwa kinguvu kitu ambacho kiliyaogopesha mataifa ya Magharibi kwamba nayo yatakuja mezwa siku moja. USSR ilikuwa ndiyo nchi kubwa sana duniani kuliko zote ambapo kijeografia ilikuwa inastretch almost Eleven time zones(11%) Pia ilikuwa na nguvu kubwa kijeshi kuliko taifa lolote duniani na hii ni Kotoka na uwezo mkubwa wa technology ya kijeshi hasa katika siraha na vifaa ilikuwa na kituo kikubwa cha kijeshi kilichoitwa "Kosovo" eneo Hili lilikuwa na mkubwa wa Karibu wa nchi ya Uingereza hapo ndio lile Bomu lilopewa jina la "bomu la maangamizi" (Bombastic Bomb) nje na hiyo uchumi Wao ilikuwa mkubwa sana Karibu Mara mbili ya uchumi wa marekani nakuifanya USSR Kuhodhi 30.7% ya uchumi wa dunia nzima kwa kipindi hicho huku pato la taifa la USSR ilikuwa ni (8 trillion $ US) huku marekani uchumi wake ilikuwa $ 4.9trilion) .

Marekani kwa kuigopa urusi alishauri mataifa ya Ulaya ili kujilinda yatengeneze umoja wa NATO (North Atlantic treaty organization) mwaka 1947, Na pia kwa kushauliana na Uingereza waliona kuna haja ya kuanzisha Dola mkakati (State defence platform) yani "formation of Israel nation in the middle East" mwaka 1948 kumbuka Israel ilitakiwa iwekwe hapa East Africa kwetu lakini walipima ni jinsi gani wataizuia the Soviet advance? (Russian advance), Warusi walitumia mitandao yao kufinance vikundi vya kikomunisti ikiwa ni njia ya Kuhodhi dunia katika kupandikiza viongozi duniani (Implant of leaders as oversees States) kwa kuanzia na China wakati wa Mao Zedong 1949, Cuba nchini ya Fidel Castro 1950, Yugoslavia ya Slobadan Mcholovck, Vietnam ya Hoch Minh, Korea ya kaskazini ya Kim Jung Sun, pamoja na nchi kama Venezuela, Bolivia, Chile, Ghana, Libya, Angola, Mozambique, South Africa, India, DRC, na mataifa mengine Mengi. Mfano kwa Uchina kuanzia mwaka 1948 hadi kupelekea mwaka 1949 urusi ilifanikiwa na kushinda na kuwaumiza Wamarekani kwa kiasi kikubwa saaaana kiuchumi.Mwaka 1949 Urusi aliishangaza dunia baada ya kurusha kombora la nuclear ambapo marekani alijua analo peke yake hivyo kupelekea mahusiano yao kudorora, na kupelekea kuzuka kwa zama za maangamizi yani "Almagadoni" kipindi hichi ndicho kukaw na wasiwasi wa kuzuka kwa vita ya tatu ya dunia. Kwani Mrusi ndiye aliyekuwa anaongoza kwa kuwa na sophisticated Rocket technology kuliko Marakani hivyo kufanya the red army yani jeshi la umma la Urusi kuogopwa saaana duniani hasa hawo wamarekani na washilika wake.

Mnamo miaka ya 1949 hadi mwaka 1950's nchin USSR kulikuwa na kitu kinaitwa The Molotov Plan ambao ulikuwa mpango wa ku counter The Marshall plan ya Marekani ambao ulikuwa unatoa mikopo kwa mataifa yaliyoumizwa kiuchumi na vita ya pili.Warusi walikuja kufanya maajabu tena baada ya kuanza mpango kabambe wa ugunduzi yani "extensive innovation project" ambapo Kalashnikov aligundua bunduki yenye nguvu saana aina ya AK47 au Avtomot Kalashnikov tena miaka ya 1957 Urusi pekee ndiye aliyekuwa wa kwanza kurusha Artificial Sattelite kwenye Orbit na tena pia Urusi ndiye aliyekuwa kwanza kupeleke MTU (cosmonaut)outer space nadhani alikuwa anaitwa "Yiri Gargarian" hii iliifanya USSR kuwa Ndimi Dola kuu katika ushawishi wa kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani.

kama sijasahau.Urusi alitumia mitandao ya upelelezi yani Intelligence Enhanced Technology (tekinolojia iliyoboleshwa katika ujasusi) kama NKVD na GRU ambapo walipeleleza serikali za marekani, Uingereza, na mataifa ya NATO ambapo walikuwa wakiwauwa viongozi wakubwa kwa sumu (poisoning na other tactics) mfano mzuri waliweza kuunda kitu kinachoitwa THE RING OF FIVE pale Yale UNIVERSITY ambacho kilikuwa kinaua wanafunzi ambao wanaonekana ni vipandikizi wa marekani yani "future potential American leaders" umoja huu uliundwa na wanafunzi ambao walikuwa wakijhami dhidi ya vipandikzi wa wamarekani.

Urusi ilikuja kuugopesha dunuai mbapo mwaka 1961 walipeleka makombora ya Nuclear pale Cuba huku wakilenga miji mikubwa ya Marekani kama Chicago,Atlanta na New York huku raisi wa Urusi wakati huo alikuwa anaitwa Nikita Krushchev alikuwa anawatishia NATO kwamba "I WILL BURRY YOU" yani angewazika na kuwaangamiza" ,ilibaki kidogo ianze Nuclear War laikini wakubwa huwa wanaogopana yakamalizwa kwa diplomasia, lakini hata CIA wanakiri kwamba vita ingeanza wangeshindwa vibaya kwasababu walijiamini na kujua kwamba vita haiji kuingia jirani na USA, they were wrong coz this time the bad men was at their door step.Urusi alikuwa na military bombers ambazo zilikuwa na uwezo wa kufanya mashambulizi makubwa saaana USA ukiangalia ujirani kati ya Cuba na USA.

Mrusi alikuja kushikwa pabaya na USA kwenye the Six Days War ambapo mmoja wa mjasusi wake alikimbia Urusi kama alivyofanya Snowden na kuelekea Uingereza ambapo alitoa secret files za majina ya secret ghost agents wa Urusi ambao walikuwa wanaoperate middle east hivyo kupelekea wauawe wanajeshi wengi wauwawe na Israel kushinda vita, kushindwa huku kulipelekea Urusi chini ya rais mpya bwana Leonid Brezhnev kutengeneza the lethal weapon ambayo itaweza ku undermine all world intelligence agencies na kuirudisha Urusi katika hali yake,waliunda kitu kinachoitwa KGB.

Trust me people even the Mossad feared the KGB,it was notoriuos,efficient killing machine,efficient tool for collecting information,tromendous tool in drafting national policies,masters of infiltration and good suppressors of internal dissidents.KGB itakumbukwa kwa kuifanya Urusi iwe the most feard country in the world hasa chini ya boss wake aliyeitwa Yuri Andropov ambaye alikuja kuwa rais wa Urusi baadae.KGB ilianza kupenyeza majasusi wake hadi kwenye jeshi la Marekani ambapo waliweza kumrecruit US NAVY chief Anthony Walker ambaye alifanya kazi kwa miaka 18 na KGB.

Urusi na China walihusika saaana kuwaua Wamarekani kwenye Vietnam war,Urusi ndiyo waliilinda India mwaka 1971 ili USA wasiivamie na kweli USA alishindwa kuvamia India. Ije ikumbukwe Mrusi anakuwa na Nguvu saaana kwasababu huwa habetray allies wake kama USA, USSR yeye anawalinda NORTH KOREA,VIETNAM,SYRIA,IRAN na mataifa mengine washirika wake wakubwa.Urusi kailinda saaana Syria kwasababu kwanza ni nchi ambayo inavitega uchumi vikubwa sana vya Urusi kuna makampuni ya mafuta kama Tatneft pia kampuni la mafuta la Syria linanua vifaa kama pipes kutoka Russia pia Syrian Air and Marine companies vessels zake nyingi ni za Mrusi na pia mbali na south Asia soko kubwa la silaha liko Syria sasa. Urusi hawezi ruhusu mataifa ya magharibi kuvamia kwasababu amewekeza saana Syria kwenye manufacturing industry profits.
Naomba niishie hapo na niitue Chini karamu ili kutoa upenyo wa wadau kufyonza maarifa haya..... Asanteni

Ndimi: Comred Mbwana Allyamtu.

[emoji767] copy rights reseved
[emoji768]written by Comred Mbwana Allyamtu
•Napatika kwa mawasliano
[emoji769]Comred Mbwana Allyamtu
Kwa Tanzania
+255679555526.
+255765026057.

Kwa Rwanda
+250733153930
+250788214234

Kwa DRC
+243 977 860 824
Email- mbwanaallyamtu990@gmail. Com

...............Vicktoria Venit..........
8bb9ba471dc7ddd813bf489ea5cdfab3.jpg
 
USSR(URUSI) ILIYOKUWA DOLA-HIMAYA NA MILIKI KUU YA SABA YA DUNIA (THE 7th WORLD SUPER-SUPREMACY EMPIRE) KATIKA ULIMWENGU WA KISOSHOLIST (WORLD OF SOCIALISM).
fb6b9ac240c67187d8b38fb0dcb3a058.jpg

Na, Comred Mbwana Allyamtu.

URUSI ni moja kati ya nchi zenye historia kubwa saana ya kufurahisha.Kwanza urusi zamani iliitwa Russian Empire Kabla ya kuja kuitwa USSR na baadae Russia. Haikuwa na eneo kubwa huko mwanzo kama unavyoliona sasa.Urusi ilitawaliwa kwa zaidi ya miaka 300 na familia ya RAMANOV ambayo utawala wake ulifikia kikomo mwaka 1917 baada ya mapinduzi matakatifu ya wafanyakazi na wakulima na makubwa ya wakomunisti...kihistoria mfalme anayekumbukwa kuipanua urusi kuwa kubwa mara mbili anaitwa "Czar Peter the grea"t au St.Peter kama ambacho baadae mji wa St Petersburg ulivyo kuja kipewa jina kwa heshima yake.

Urusi ilikuwa na nguvu kwa miaka mingi kijeshi kwasababu ya ukubwa wake,rasilimali nyingi na hali yake ya kijeografia ambapo ni baridi sana utoweza kuruhusu wageni kuvamia kirahisi mfano mzuri ni pale ambapo mfalme Napoleon Bournaparte wa Ufaransa alivyoivamia na jeshi la watu kama laki sita hivi mnamo miaka ya 1800's na kupigwa vibaya na mfalme Alexander wa Urusi ambapo aliiamuru miji yote ichomwe moto na kisiachwe chakula ili wafaransa wakija wapigwe na baridi kali ili wafe na kwa bahati nzuri ilitokea hivyo.kadiri miaka ilivyoendelea Urusi ikaanza kuwa dhaifu kwasababu ya mfumo wa Feudalism ambao uliruhusu rushwa na utawala wa watu wachache juu ya wengi walio maskini,kumbuka urusi ni moja ya rainbow states since ina multiple ethnical groups,kama Caucasian,jews,mongols etc.Urusi ilijiingiza kwenye struggle for power mnamo miaka ya 1800's hadi 1900's na matifa ambayo ni madogo kuliko yeye lakini yalikuwa tayari yamesha fanya mabadiliko ya kiviwanda kuliko yeye hivyo kupelekea kushindwa vita hata na kitaifa kama Japani na Uturuki.Mnamo miaka ya 1914 ilitokea vita ya dunia ambapo mfalme wa Urusi bila kufikiria aliliingiza taifa la Urusi vitani kisa kulinda tu heshima yake,wakati huu Urusi ilikuwa haina silaha za kutosha na za kisasa kama automated rifles,aircrafts,tanks and submarines hivyo alitegemea sana silaha kutoka kwa Muingereza,..Mrusi alijiunga na muingereza na Mfaransa kuwapiga adui na majirani zake Germany Empire,Uturuki kipindi hicho ni Ottoman Empire na Austria.Warusi wengi kama 4million walikufa hivyo kuifanya Urusi kuwa Taifa maskini sana na chovu kuliko yotee ulaya.

VUGUVUGU LA MAPINDUZI LAANZA.
Mnamo mwaka 1917 mfalme wa Urusi alianza kuua wanaharakati ambao walitaka asitishe vita na kufanya mabadiliko ya kimfumo,watu kama Vladmir Lenin walikuwa exiled (nje) ambapo alirudi mwaka 1917 kuendesha mapinduzi makubwa ya kikomunisti ambayo yalipelekea Civil war hadi mwaka 1919 ambapo mataifa mengi dunian hayakupenda ukomunisti hivyo yakasupport wapinzani wa Lennin ila walishindwa. Baada ya mapinduzi ya chama cha Bolsheviks ambacho kilijiita chama cha watu wote wa tabaka la chini kama wakulima na wafanyakazi wa aina zote waliokua wakifanya kazi ndani ya serikal ya Tsar au zar au emperor au kwa kiswahili fasaha ni "Mtawa" ambao waliokua wanatawala dola ile ya Urusi toka miaka ya 1880 na 1894 ambao walibadilisha fikra za watu wa Urusi ambao akili zao ziliamka kwa ajili ya kudai haki kwa ajili ya mabadiliko.

•MWANZO WA HARAKATI.
Kabla ya Vladimir Lenin na marafiki zake wakubwa wawili Joseph Stalin na Leon Trotsky ambao walizaliwa mwaka mmoja 1879 tayari mapambano katika nchi ya Urusi yalikua yameanza mda kudai Uhuru wa watu ambao walikua wakiteswa na tawala ya serikal ya Alexander lll ambapo yeye aliondoshwa madarakan mwaka 1894 na kufanya czar Nicholas ll aingie madarakan kwa kuitawala Urusi hivyo watu pia waliendelea kudai haki zao kwani nae aliwanyanyasa watu wa tabaka la chini.

•AWAMU YA I YA MAPINDUZI YA MWAKA 1905.
Mwaka huo watu wa jiji la Petrograd waliandamana katika kasri la mfalme Alexandre ll kwa ajili ya kudai haki zao lakn walipigwa risasi na kadhaa kujeruhiwa na wengne kuuwawa hivyo watu kushindwa kufanya mapnduzi uko urusi . Mwanzo wa 1914 Wakati vita ya kwanza inaisha urusi ilikua upande wa allied yana katika shirikisho la nchi zilizokubaliana kuisaidia kijeshi Uingereza, Ufaransa, n.k Ujerumani walivamia baadhi ya sehemu za Urusi ya zamani na sehem kadhaa ambapo vikosi vya Urusi vilipigwa vibaya na Wajermani hadi mwaka 1916 Warusi zaidi ya 50000 walikua either wameuawa au wamejeruhiwa na kupotea (missing in action) sababu za kushindwa kwa vita hii
kwanza kutojiandaa kivita ambapo hawakua na silaha za kutosha mda mwingne walitegemea za watu waliokufa kivita zaidi APA (tazama enemy at the gate) hivyo walipata gharama kubwa za maandalizi na kufanya watu maisha yapande.

Pili ni vyakula Vingi kupelekwa kwa wanajeshi kukosa chakula mavazi na kadhalika hivyo kumfanya mtwawa Alexandre ll kuingia kama command person na madaraka kumuachia mke hapo lilikua kosa kwake kwan kwa mda huo alishindwa kutawala vyema na vitendo vya rushwa kuongezeka na watu ikiwa ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha kama kutokuwepo kwa vyakula hasa jiji la Petrograd na kufanya watu waanze kuunda fikra za mapambano na kufufuka dhana ya mapinduzi iliyokuwa imeshidwa mwaka 1905 waongeze mapambano hasa kuanza kuundà vyama vya Kijamaa kwa kufuata dhana ya Karne Max.

•MAPINDUZI YA PILI FEBRUARY 1917.
Kwa wakati huo Urusi walikuwa wakitumia calendar iliyokuwa inayoitwa Julian ambayo kimsingi ilikua haendi sawa na nchi nyingne mwezi wa pili wa mapinduzi yaliyomng'oa Nicholas ll na kufanya kijana mdogo anayeitwa "Alexander Kerensky" apewe serikal ya mda lakin naye nchi ilionekana kushindwa kutawala kwa kutokua na mfumo mzuri wa kitawala

•MAPINDUZI YA LENINGRAD (LENINGRAD REVOLUTION) OCTOBER 1917.
Mapinduzi ya October 1917 toka February hadi October Lenin alirudi Petrograd kupitia Ujerumani na kuingia Urusi kuongoza kusonga mbele kwa chama cha Bolshevik kwakua Lenin aliingilia mji wa "Petrograd" hivyo Basi Mapinduzi hayo ylipewa jina la "Leningrad" kwa maana ya (mji wa Petrograd na Lenin) hivyo Basi pamoja na Lenin kuingia Urusi alianza kukusanya wanachama na wengi zaid hadi September alikua na member 200000 mapinduzi ya oktoba waliomwondoa mtawa Alexander Kerensky na Vladimir Lenin kuingia madarakan kupitia chama cha Bolsheviks ambapo alisaini mkaba kuziachia baadhi ya nchi ziwe huru kama Poland Finland n.k. Makao makuu ya chama cha Bolsheviks yalihamia Moscow kutoka Petrograd maarufu kama St.Petersburg city sasa 1918 na sasa Lenin alianza kukumbana na changamoto za kiutawala kama kuibuka kwa migogoro ya ndani ( civil war) mwaka 1918-22 Watu walikua na ushirikiano mkubwa sana kwa Lenin na walikua na kikosi chao cha red guard ambapo 1919 red army iliundwa rasimi kama kikosi cha umma na Leon Trotsky aliteuliwa kuwa general secretary jeshi hilo la umma pia Ukraine ilipewa hukumu maalumu ilijulikana kama Green army kwa ajili tu ya kusaidiana na Lenin nchi kama USA, UK, Japan na France walitoa misada ya kijeshi kwa white army kupigana na Bolshevik part lakn sapoti aliokua nayo Lenin alishinda vita hio mwaka 1922 ikawa imeisha huku Urusi yote ikawa Chini ya chama cha Bolshevik.

KUUNDWA KWA DOLA LA USSR.

Back
Top Bottom