Ifahamu USSR (Urusi) iliyokuwa dola-himaya na miliki kuu ya saba ya dunia

Hao waisraeli walitaka waletwe Afrika mashariki sehemu gani, hivi nini ingekuwa hatma yetu.?

Hapa sijaelewa vizuri!
navyochukia hii minguruwe ingeleta sana shida africa kwa ujumla na ubaguzi wa hali ya juuu. Kweli nimeamini israel imeweka hapo middle east kwa plan za marekani ndo maana hawa wayahudi wamejaa tele serikali ya marekani it means wao sasa ni ndugu ila wakija kujeukana mmh sijui kwa kwli.


Tatizo la hawa nguruwe Mungu kawapa akili mno. Kumbuka maujanja ya ujerumani, russia na marekani yanatoka kwa hawa wayahudi.
 
Kuna vipengele haviko sawa, nikisoma upya nitakuambia
 
Asante Mkuu
 
Wewe ni mwandishi mzuri.. Comred Mbwana Allyamtu.

Ila zingatia sana tarehe za matukio, kuna maeneo umekosea na inaonyesha hukufanya utafiti wako vizuri (kama kuanzishwa kwa KGB), Pia tafsiri za majina Emperor (Tsar/Czar) kwa Kiswahili ni MALIKI na sio MTAWA kama ulivyoandika, mtawa ni neno lenye maana nyingine kabisa.

Familia ya ROMANOV na sio Ramanov ndio ilitawala Urusi kwa miaka 300.

Matumizi ya R na L. Kuwa makini kwenye maneno kama silaha (wewe umetumia siraha).

Pia matumizi sahihi ya sentensi. Alama kama nukta na mikato.

Ila ufahamu vipaji kama vyako vinahitajika sana hapa nchini.. kama taifa tunahitaji watu wa kutuandikia historia yetu na za kigeni kwa lugha yetu. Hivyo nakupa hongera kwa kutoa muda wako na kutuletea fasihi murua kabisa.
 
Mkuu huyu ndugu tushamwambia azingatie R na L pia tarehe za matukio hapo ndo anapokosea.
 
Kumbe kacopy na kupaste aisee
 
Asante mkuu, nimeipenda sana mada. Nataka kujua tena imekuwaje hapo kati USSR ipoteze mvuto kiasi hiki? Kiuchumi kwa sasa haiko vizuri sana lkn najua kijeshi bado IPO njema. Naomba ufafanuzi wa mgogoro wa Ukraine na kugawanyika kwake Kiev kurudi Russia. Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…