Car4Sale Ifahumu na kununua Subaru Imprezza

Ndio hivyo zaidi watakuambia vistory bya ajabu ajabu ili wale 500k hadi milioni toka kwako
 
Kweli kabisa hilo usemalo boss kwamba ili kampuni ipate faida itabidi ulipie ile huduma.

Kwa faida yako na wengine wanaosoma hapa, Kimomwe Motors hatukuchaji kiasi chochote cha zaida, mchakato mzima wa manunuzi tunaufanya kwa uwazi kabisa ambapo gharama ya manunuzi, usafiri, ushuru na gharama za bandari utapata kuziona kwa uwazi.

Ili kujiendesha tunategemea discount au punguzo la bei kutoka huko Beforward au kwa kampuni nyingine 11 tunazofanya nazo kazi, hilo punguzo tunalopewa kama kampuni wewe mtu mmoja huwezi kupewa, KWA SABABU YA WEWE KUTUAMINI NA KUJA KUAGIZIA KWETU TUNAKUPATIA MKATABA WA KUBEBA DHAMANA YA HIYO GARI NA VITU VYAKE VYOTE MPAKA INAKUFIKIA MKONONI.

Kwa kuongeza ni kua punguzo tunalopewa pia linakuhusu na hiyo ni sababu ya kuwatangazia kwamba mkiagiza nasi mtapata punguzo.

Mwisho usisahau kwamba kuja kuagiza gari nasi una uhakika wa kupata gari bora zaidi kwa gharama nafuu zaidi kwa kua sisi tuna hizo kampuni zaidi ya 12.
 
Mkuu nahitaji suzuki carry nipe mchakato mzima..iwe katika hali nzuri.
 
Mkuu nahitaji suzuki carry nipe mchakato mzima..iwe katika hali nzuri.
Kama uko Dar karibu sana ofisini kwetu au piga sim 0746267740

Kwa kuanzia tu ni kwamba Hii gari gharama zake huanzia 8.5m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…