Ifakara vs Kasulu Mji gani umechangamka na unafaa Kuishi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.

Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.

Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na Maarufu Kwa Biashara ya mazao.

Kwa.kuzingatia vigeso vyote,wapi panafaa Kutengeneza maisha?
 
Yaani kweli ifakara ni ya kufananisha na kasulu?? Yaani mkoa wa kigoma ni tabuuuu!!
 
Kwani Ifakara Ina jipya gani? Kwanza Kasulu unaijua au unaisikia? Nyie mumekariri kwamba Kigoma hakuna kitu,pole sana.
Screenshot_20230923-112547_1.jpg
Screenshot_20230923-112645_1.jpg
Screenshot_20230923-112820_1.jpg
 
Ifakara ni moto kasulu ikasome....

Ifakara ina sifa ya kuwa makao ya mkoa wa ifakara...sema bado haujatengwa kuwa mkoa
Makao Makuu ya Mkoa ni maamuzi tuu ya Serikali maana hata Babati,Lindi,Bariadi nk ni Makao Makuu ya Mikoa lakini ni Vimji vidogo kushinda Kasulu.
 
Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.

Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.

Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na Maarufu Kwa Biashara ya mazao.

Kwa.kuzingatia vigeso vyote,wapi panafaa Kutengeneza maisha?
Acha kufananinisja Ifakara na huko machakani njoo ufurahie maisha mji wa Ifakara
 
Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.

Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.

Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na Maarufu Kwa Biashara ya mazao.

Kwa.kuzingatia vigeso vyote,wapi panafaa Kutengeneza maisha?
Hizi ndio mentality zetu,Wageni hasa wazungu wanakuja wanajichimbia mapolini huko wanapiga pesa vilivyo sisi wazawa tumekomaa na mijini tunataka tuwe tunaona lami masaa yote, tunaamini pesa ipo mjini, Mapori tumewaachia wageni wajaipimia wenyewe
 
Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.

Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.

Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na Maarufu Kwa Biashara ya mazao.

Kwa.kuzingatia vigeso vyote,wapi panafaa Kutengeneza maisha?
Nenda Ifakara utengeneze pesa kupitia kilimo mkuu.
Nimekaa Miji yote miwili Kasulu mazingira ya utafutaji ni magumu labda uwe umeajiriwa lkn hustling za mtaani ni ngumu. Kama umesoma pale Kasulu ndio Makao ya UNHCR na kuna NGO za Kimataifa zaidi ya 50 kamji kaamejaaa LANDCRUISER za UNHCR na Mashirika washirika wa UNHCR. Kuna Udongo mwekunduuu na utelezi wa kutosha wakati wa Mvua.
Ifakara ni bondeni, mafuriko anytime tu, wakati wa mvua tope kama lote kitaa.
Vibarua vyaa mashambani wakati wa kilimo hata kiangazi kwa siku hukosi elfu 30.
Kazi kwako
 
Back
Top Bottom