Ifakara vs Kasulu Mji gani umechangamka na unafaa Kuishi?

Ifakara vs Kasulu Mji gani umechangamka na unafaa Kuishi?

Babati ni Bush tuu sema hapo Mjini ndio Kuna tulami mitaani twa kuzidi
Mkuu ngoja na declare interest sitetei babati kwa sababu ni kwetu lakin naamini babati imezidi kasulu kwa kila kitu na huduma zote kasoro ardhi yenye afya.. hata muhaya akamua kujenga mjengo babati hahahaha 😆 🤣 😂 maana palimvutia
Babati ni Bush tuu sema hapo Mjini ndio Kuna tulami mitaani twa kuzidi
 
Sijawahi kufika Kasulu. Ila nimeishi Ifakara na Wilaya za Kilombero, Mlimba, Malinyi, na Ulanga kwa miaka mingi! Hakika Ifakara imebakia kuwa ndiyo kitovu cha biashara kwa hayo maeneo yote.

Sema pana mbu pale mahali! Na joto kali miezi ya mwishoni mwa mwaka. Ila ukija kwenye chakula, samaki na mchele ni bwelele.
Umenikumbusha Ngalange
 
Nenda Ifakara utengeneze pesa kupitia kilimo mkuu.
Nimekaa Miji yote miwili Kasulu mazingira ya utafutaji ni magumu labda uwe umeajiriwa lkn hustling za mtaani ni ngumu. Kama umesoma pale Kasulu ndio Makao ya UNHCR na kuna NGO za Kimataifa zaidi ya 50 kamji kaamejaaa LANDCRUISER za UNHCR na Mashirika washirika wa UNHCR. Kuna Udongo mwekunduuu na utelezi wa kutosha wakati wa Mvua.
Ifakara ni bondeni, mafuriko anytime tu, wakati wa mvua tope kama lote kitaa.
Vibarua vyaa mashambani wakati wa kilimo hata kiangazi kwa siku hukosi elfu 30.
Kazi kwako
Umeeleza vizuri lakini mimi kwa jinsi ulivo eleza mimi naona bado nikikaa kasulu napata pesa.
 
Hizi ndio mentality zetu,Wageni hasa wazungu wanakuja wanajichimbia mapolini huko wanapiga pesa vilivyo sisi wazawa tumekomaa na mijini tunataka tuwe tunaona lami masaa yote, tunaamini pesa ipo mjini, Mapori tumewaachia wageni wajaipimia wenyewe
Ukakae chaka na hauna hela, wazungu wanakaa mahali popote kwa sbb wanakuja na pesa maana hata kilimo kama huna pesa hutokiweza
 
Miji yote nimemtembelea na kulala miji hiyo mara nyingi sana. Kama wazo lako ni kuwekeza kwenye Kilimo mpunga nenda Ifakara, ila kama focus yako ni kutokea kwenye biashara KASULU is the best .
 
Mkuu ngoja na declare interest sitetei babati kwa sababu ni kwetu lakin naamini babati imezidi kasulu kwa kila kitu na huduma zote kasoro ardhi yenye afya.. hata muhaya akamua kujenga mjengo babati hahahaha 😆 🤣 😂 maana palimvutia
Kasulu huwezi ilinganisha na Babati. Kasulu ni mji mkubwa SANA wa kibiashara. Kwa Mkoa wa Kigoma KASULU ndo mji mkubwa na wenye biashara kubwa kuliko hata Ujiji Kigoma
 
Kasulu huwezi ilinganisha na Babati. Kasulu ni mji mkubwa SANA wa kibiashara. Kwa Mkoa wa Kigoma KASULU ndo mji mkubwa na wenye biashara kubwa kuliko hata Ujiji Kigoma
Mkuu kasulu ni mji mkubwa au ina watu wengi sababu waha wanazaa sana?? Binafsi sijawahi tembe lasulu nimeangalia kwenye ndege 2013 palikuwa pa hovyo sana?!!
 
Mkuu kasulu ni mji mkubwa au ina watu wengi sababu waha wanazaa sana?? Binafsi sijawahi tembe lasulu nimeangalia kwenye ndege 2013 palikuwa pa hovyo sana?!!
KASULU mjini Waha wa kihesabu. Pale pana watu wa kila kabila. Wachanga wanamiliki maduka na Hotels Kwa kwenda mbele. Mji ukishakuwa na Wachanga usihofu kwenda kufanya maisha na biashara
 
KASULU mjini Waha wa kihesabu. Pale pana watu wa kila kabila. Wachanga wanamiliki maduka na Hotels Kwa kwenda mbele. Mji ukishakuwa na Wachanga usihofu kwenda kufanya maisha na biashara
Hahahhaha lakin mashaka yangu ni vile kigoma bado ni mkoa uko mkiani mkiani kiuchumi
 
Hahahhaha lakin mashaka yangu ni vile kigoma bado ni mkoa uko mkiani mkiani kiuchumi
Uchumi wa Kasulu mkubwa sana. Ile Lami ya Nyakanazi-Kakonko-Kibondo-Kasulu-Kigoma imekamilika. lakini pia Lami ya Kasulu-Uvinza ipo tayari. Kipande kinachoendelea ni cha Uvinza-Magarasi Mpanda. Pia Lami ya Kasulu-Uvinza-Urambo-Tabora bila bado vipande tu. Kasulu pamefunguka. Pia pana miradi mikubwa sana ya Kilimo ipo kwenye pipelines (Washaurielekezi wapo site) ukiwemo mradi mkubwa wa ujenzi wa umwagiliaji bonde la mto Malagarasi na mradi wa umeme.

Kwa ufupi kwa sasa hakuna mkoa wa Tanzania upo pembezoni. But wewe unaweza kuamua pa kuanzai maisha.
 
Back
Top Bottom