ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yaani kweli ifakara ni ya kufananisha na kasulu?? Yaani mkoa wa kigoma ni tabuuuu!!Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.
Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.
Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na Maarufu Kwa Biashara ya mazao.
Kwa.kuzingatia vigeso vyote,wapi panafaa Kutengeneza maisha?
Kwani Ifakara Ina jipya gani? Kwanza Kasulu unaijua au unaisikia? Nyie mumekariri kwamba Kigoma hakuna kitu,pole sana.Yaani kweli ifakara ni ya kufananisha na kasulu?? Yaani mkoa wa kigoma ni tabuuuu!!
Makao Makuu ya Mkoa ni maamuzi tuu ya Serikali maana hata Babati,Lindi,Bariadi nk ni Makao Makuu ya Mikoa lakini ni Vimji vidogo kushinda Kasulu.Ifakara ni moto kasulu ikasome....
Ifakara ina sifa ya kuwa makao ya mkoa wa ifakara...sema bado haujatengwa kuwa mkoa
Acha kufananinisja Ifakara na huko machakani njoo ufurahie maisha mji wa IfakaraMiji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.
Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.
Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na Maarufu Kwa Biashara ya mazao.
Kwa.kuzingatia vigeso vyote,wapi panafaa Kutengeneza maisha?
Hizi ndio mentality zetu,Wageni hasa wazungu wanakuja wanajichimbia mapolini huko wanapiga pesa vilivyo sisi wazawa tumekomaa na mijini tunataka tuwe tunaona lami masaa yote, tunaamini pesa ipo mjini, Mapori tumewaachia wageni wajaipimia wenyeweMiji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.
Kasulu ndio Mji mkubwa in terms of population Kwa Mkoa wa Kigoma na uko jirani na Burundi.
Ifakara ndio Mji wa Pili Kwa Ukubwa Mkoa wa Morogoro na Maarufu Kwa Biashara ya mazao.
Kwa.kuzingatia vigeso vyote,wapi panafaa Kutengeneza maisha?
Pesa inapatikana kule ambako ni less competitive.Acha kufananinisja Ifakara na huko machakani njoo ufurahie maisha mji wa Ifakara
Huko ifakara kuna nini? Zaidi ya kukuta Guest House, Baa, Frame,Maduka ya nguo,Saloon,Car wash na Maduka ya bidhaa za Jumla.Acha kufananinisja Ifakara na huko machakani njoo ufurahie maisha mji wa Ifakara
Sasa jengo moja tu hiliKwani Ifakara Ina jipya gani? Kwanza Kasulu unaijua au unaisikia? Nyie mumekariri kwamba Kigoma hakuna kitu,pole sana.
View attachment 2760197View attachment 2760198View attachment 2760199
Kasulu sio Kijiji wewe elewa Hilo ni Mji mkubwaSasa jengo moja tu hili
NapajuagoKasulu sio Kijiji wewe elewa Hilo ni Mji mkubwa
Tunalinganisha Halmashauri za Mji za Kasulu TC vs Ifakara TC.Ifakara ilinganishe na mikoa kama pwani,kigoma,lindi,simiyu,geita Sio wilaya
Labda ulifika zama za Mwalimu nenda saiziNapajuago
Nenda Ifakara utengeneze pesa kupitia kilimo mkuu.Miji yote ni Mikubwa na inakua Kwa Kasi.