Ifanye forex kuwa biashara yakukuingizia kipato kidogo kila siku

Vijana katika safari yetu hii ngumu tuliyonayo sasa. Cha kwanza tupunguze matarajio hivyo tutapunguza presha na tutafanya mambo kwa hatua na tutafanikiwa
 
Sijampotosha mtu mzee point yako ni ipi apo mara forex ngumu mara inawezekana kuifanya so kumbe ni kitu kinachowezekana, ukizungumzia ugumu ofcoz ni ngumu ndo maana tunapambana kila siku na mbinu mpya ili tusurvive ingekua simple kila mtu angefanya na hakuna biashara rahis chini ya jua wewe ndo unapotosha watu ukishindwa wewe achia ngazi wengine wakae na lengo la uzi huu nikushare kitu ambacho naona kinanisaidia yani kurahisisha ugumu wa business na kivyovyote vile watu wataendelea kutrade tu hii industry sio ya leo ni kitambo ningezungumzia biashara ya mbao apa au biashara ya nguo nisingekua natia nuksi
 
jifunze then stage ya pili ni kdeal na emotion na risk management,

tafuta maarifa trade na mtaji mzuri weka lot ndogo think long term grow grow
 
fx sio ngumu ila ugumu tunaweka wenyewe
 
Nafanya Nini kama nataka kujifunza forex from scratch? Yani Sina ninachokijua hata kimoja kuhusu forex lakini nimevutiwa nayo na nataka kuijua?
Au ni materials Gani naweza soma?
 
Mimi nilikua nafanya hii biashara nikawa nafanya analysis zangu fresh naambulia kidogo napoteza kidogo japo faida ilikua inazidi, nikashauliwa kununua signals hapo ndo nikala za uso balaa nikakimbia. Nawaza kuludi tena kwenye hii biashara so ushauli wangu tuanzishe group la kufanya analysis na kutuma pdf mbalimbali na videoa za mafunzo kwa wasiojua kabisa
 
Basi mi huwa nashtukia nshamwaga lot hata room ya trade kubreath hakuna....yaan ndio tatzo langu hili[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Even me bro. Nimekuja kugundua tunawapa faida kwa wanao share signal..
 
Mimi naingia chimbo madesa ya kifa mtu miezi mitatu naanza kupiga mzigo...kwa real account...
 
Nakubaliana na point ya pili, ila ya kwanza nakupinga kwa sababu lazima utaishia kuunguza account tu. Kwenye forex usijiwekee malengo ya kifedha kwa siku. Lenga kutafuta setups nzuri hizo ndio zitakupa pesa zaidi ya hayo malengo ya per day.

Forex sio biashara ya bajaj sijui kila siku uwe unapeleka marejesho. Create plan yako then ishi nayo. Wiki iliyopita ya kuanzia tar 25-29 hii pair AUD/USD imelamba kichwa halafu NZD/JPY kanitoa mavumbini. TUENDELEE KUPAMBANA
 
Mzee hii Sasa unapata vip pesa maana naona inaleta hiz option tu hapa

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 

Follow your plan usikimbize pesa. Kama siku iyo umekosa set up ya plan yako subiri kesho, kesho kutwa ata week ukiipata ingia
 
Sasa mkuu mbona hilo swala la kucheza na taarifa ya habari kama umesoma vizuri forex hatua kwa hatua ndo wanachokisisitiza tena ukisoma vitabu vinakuambia kwa kila bara i.e America, Ulaya, Asia taarifa za habari hua zinatoka muda gani ninachokiona watu wengi hawajawekeza kwenye elimu kabisa labda nikuulize kabla ya kutrade hua unaangalia kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…