Mzamiaji mweusi
Member
- Apr 22, 2022
- 31
- 16
Knowledge is power, your mind is your big investment......!!! Invest in time to understand it ..... More info +255742768610
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi.. a very realistic approach mdogomdgo..Salaam....[emoji41][emoji410]
Baada ya utafiti wangu wa muda kwenye soko la forex nimekuja na vitu ambacho naamini vinaweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwa wapambanaji wenzangu wanaotaka kubadilisha mifumo ya maisha yao kwa fursa mbalimbali zinazojitokeza kutokana na kukua kwa technolojia.
Asilimia 90% ya watanzania tumeishi kwa mtazamo wa kwamba ndoto kubwa tunazotakiwa kuwa nazo ni kusoma na kuja kuajiriwa hasa hasa serikalini na kwa asilimia chache wapo ndoto zao ni kuajiriwa mashirika binafsi na tunaamini mafanikio yamejificha huko hii hali imeangamiza familia nyingi sana na imezalisha watu wengi sana wasiojielewa na izo fikra zimewafanya wazee wetu waendelee kuamini kua heshima pekee na mafanikio ni mwanae kuajiriwa bila kuangalia nafasi zilizopo kwenye ajira na idadi ya wahitaji ni wengi mno.
Sasa basi kurahisisha maisha vijana wengi tumejikuta tunazivaa fursa mbali mbali tunazoamini zitatuletea unafuu wa maisha kama vile kubet football, kubashiri michezo mbalimbali mitandaoni kama biko n.k sio kwamba zilikua ndoto zetu hapana hatuna namna system imetupeleka uko.
Turudi kwa wadau wangu wa forex trading wale beginers na wale wazoefu kuna jambo nataka tuwekane sawa apa na lengo ni kusaidiana sisi sote ni wamoja tunatakiwa tuwe pamoja katika kupambana na hali ngumu za maisha, binafsi naijua hii biashara tokea 2016 mwishoni nimeshapata pesa kutokana hii biashara na nimeshapoteza pesa kutokana na hii biashara, nishagombana na watu na sio kwamba kuwepo muda mrefu kwenye soko ndo mafanikio hii kitu haifanyi kazi ivo tunakosea sana kuliendea hili soko inatakiwa tubadilishe mitazamo yetu na kikubwa ninachoamini soko lina pesa ni namna ya kuzichukua ndo inahitaji mbinu za uhalisia.
Tunachokosea sisi ni kitu kimoja tunatamani tulale masikini tuamke matajiri ndugu zangu kila kitu kina level hata kukua kiuchumi ni lazima upite level mbali mbali lazima uanzie chini ili uende juu nayasema haya sio kwamba nina mafanikio makubwa sokoni nayasema haya kwa experience ya mistake mbalimbali nilizopitia na kugundua kuwa natakiwa nifanye nini na atleast sikosi pesa ya kula kupitia hii biashara na lengo ni hilo tuanze kwanza level ya chini yani usikose pesa ya kula elfu 10, 20, 30 zisikupige chenga kwa siku au siku mbili
Huna haja ya kutamani kutengeneza kiwango kikubwa cha pesa kwa muda mfupi au kwa kumuangalia mtu aliyefanikiwa kupitia hii biashara ukalazimisha uwe kama yeye unapaswa kuiendea biashara taratibu yani ifanye kama biashara zingine kwanza mambo mazuri yatakuja yenyewe na hivi ni vitu vya msingi unapaswa kuvizingatia:-[emoji116]
1. UNAPASWA KUJUA LEVEL YAKO KIUCHUMI
Yani hapa unatakiwa ujijue wewe ni nani unahali gani, mambo gani yamekuzunguka, una kiasi gani cha pesa na unatakiwa kuanzia wapi jua kabisa unafanya kwaajili ya nani usimuangalie mtu yeyote na ukataka kushindana nae labda umuangalie mtu kwa lengo lakujifunza au akupe motivation na hapa kuna mambo ya saikolojia yataingia sitayagusa kwa sasa ila ntawagusa watu wenyr level ya chini kama vijana wenzangu ambao hawana kazi wala biashara yakuwaingizia kipato
Unapoingia kwenye soko la forex usilazimishe kuwa tajiri mara moja hayo mawazo yatakucost na utaiona hii biashara ni mbaya siku zote
Ingia sokoni kwa kutafuta elfu 10 tu kwa siku
Yani hakikisha kwa siku unaingia order 7 tu na kila moja ikupatie $ 0.65
$0.65 = tsh 1500
1500 × 7 = 10500
Tsh 10500/= kwa siku ni kitu rahisi sana kukipata traders mnajua ilo, so hutokua na haja yakuwa omba omba kuwapiga watu mizinga hata pesa za vocha utaanza kukua taratibu kiuchumi ukijua unaweza kuingiza hata elfu 10 kwa siku.
2. UNAPASWA KUWA NA PLAN
Hii kitu muhimu sana unatakiwa ujue namna yakuandaa plan yako kutokana na kiwango cha pesa yako na unatakiwa ujue namna gani yakuifata na kuilinda plan yako siku zote
Sitoweza kuweka plan hapa kila mtu ana uchumi wake ila unapaswa kuandaa plan hata uwe na $5
Hupaswi mtu ukae kizembe tafuta namna yakupambana na umasikini
Nitaendelea nilipoishia...
Fx sio rahisi kama ulivyoandika urojo hapa. Kuna main uzi wa Fx wa kina Ontario nenda kasome.Salaam....[emoji41][emoji410]

AsanteTafuta kitabu cha ''' currency trading for dummies by Brian Dullan....pdf km unataka kujua zaidi forex,,,, tembelea babypis.com ,, tamberea tradingview.com kujua km soko la foreign exchange limefunguliwa tembelea www.forex.timezoneconverter.com mengine changanya na yako......!!!!
Ukijua vizuri market structure. .utajua effects ya news ni ndogo sana nayo ni ACCELERATION na sio CHANGING THE DIRECTION. .#Learn more and again....have a safe tradingForex sio ngumu na sio rahisi, Chukulia jana mfano kulikuwa na taarifa nyingi saba za Uchumi hasa Ulata maana yake walio kuwa wana sale EURO jana watakwa kwa sasa wanachekelea make Euro jana ili nyanyaswa mbaya na kibaya zaidi zile ncbi za ulaya zilikuwa zinapishana kama lisaa kutoa taarifa na mbaya taarifa zote zikawa mbaya.
Nilicho jifunza Forex pia ni kucheza na taarifa za habari zile zina impact ya kutisha make zile ndo either upige pesa au uunguze account.
Siku kama ya jana niliivulia kofia Fundamental analysisi
Bado halitakuwa effective sana...sababu ni kwamba traders wengi wazur wanajua mambo ambayo traders wengi wadogo hawajui na gharama yake ni kubwa mno ...mtu hawezi kukupa fo fre pdf au strategy aliyoinunua kwa gharama kubwa ...kwa hiyo mtazamo wangu naona bado hilo group litakuwa na vitu local tu ambavyo vipo nje nje kama maindicators,.trendline, support and resistance and so on....#ushauri wangu ikiwa ww ni #PRICEACTION TRADER ..fanya analysis yako kwa computer it is far better than smartphone....#tradesafeMimi nilikua nafanya hii biashara nikawa nafanya analysis zangu fresh naambulia kidogo napoteza kidogo japo faida ilikua inazidi, nikashauliwa kununua signals hapo ndo nikala za uso balaa nikakimbia. Nawaza kuludi tena kwenye hii biashara so ushauli wangu tuanzishe group la kufanya analysis na kutuma pdf mbalimbali na videoa za mafunzo kwa wasiojua kabisa
Binafsi nakuelewa unachojarbu kuaminiana japo wapo kucrush...Forex is multidimensional kila mmoja uliangalia soko kwa namna ya kipekee yake ndio maana kuna visaidizi (strategies) zaidi ya 1000 duniani..Ni carrier ambayo siyo rahisi na haijawahi kuwa rahisi lakn watu hufanikiwa kupitia humo....tunamcrush ni vile tumeamua kuangalia mafanikio yake tofauti na yeye na tunaforce angalia mafanikio kama sisi tunavyoona...kufanikiwa huku hamna katiba kuwa kias flan bas tumefanikiwa...kwa utashi wake and his strategy ime fit personality yake ya kuona kupitia hiyo risk ndogo anapata reward na utulivu wa akili yake imemwambia amefanikiwa..he is right..(we succeed when we discover ourselves in market..kias gan unaweza kutolorate risk....that's why kuna scalper, day trad and swing...mmoja kuona soko linaenda up and down na yuko kwenye soko hawez vumilia atafunga na kuchukua chake lakn mwingine hayo mawimbi hayamuogopeshi anaweza hold for days or weeks....ni namn tunatofautiana katika utulivu wa akili na kuvumilia vishindo....so kwake amejitafuta akajijua yeye ni nani...na ameamua kuishi kwa hiyo alivyo...kama tumeamua kuamini tunaweza tengeza milion for two positions for week ni sisi na uvumilivu wetu na ndicho tulivyoamua kuliona soko ..tumuache na personality yake inayomuwezesha kupata order 7 kwa siku...if it's true..na nafsi yake imeridhika he is successful.!!![emoji28]sniper 0.65 rahis kupata hata kama upo wrong market is wave machine ina move up and down kama upo vizuri kweny price action (ICT) market maker method au supply and demand utajua namna yaku pull triger sio lazima uwe kwenye ratio 1:5 sometimes 1:1 ni poa chamsingi kuwa consistent.
Unaweza weka SL sehem ambayo haiwezi kufikiwa kutokana na sehemu uliyo ingia we si sniper unaelewa ila mimi hata nisipo weka SL im sure 100% sikosi 1500[emoji16] kwa kila order ntakayoingia na nimeona urahisi wa biashara hata nikifunga hesabu kwa mwezi naona profit
[emoji779]Do not trade without stop loss[emoji16]
Well explained. Swing trade kuvumilia mawimbi kazi IpoBinafsi nakuelewa unachojarbu kuaminiana japo wapo kucrush...Forex is multidimensional kila mmoja uliangalia soko kwa namna ya kipekee yake ndio maana kuna visaidizi (strategies) zaidi ya 1000 duniani..Ni carrier ambayo siyo rahisi na haijawahi kuwa rahisi lakn watu hufanikiwa kupitia humo....tunamcrush ni vile tumeamua kuangalia mafanikio yake tofauti na yeye na tunaforce angalia mafanikio kama sisi tunavyoona...kufanikiwa huku hamna katiba kuwa kias flan bas tumefanikiwa...kwa utashi wake and his strategy ime fit personality yake ya kuona kupitia hiyo risk ndogo anapata reward na utulivu wa akili yake imemwambia amefanikiwa..he is right..(we succeed when we discover ourselves in market..kias gan unaweza kutolorate risk....that's why kuna scalper, day trad and swing...mmoja kuona soko linaenda up and down na yuko kwenye soko hawez vumilia atafunga na kuchukua chake lakn mwingine hayo mawimbi hayamuogopeshi anaweza hold for days or weeks....ni namn tunatofautiana katika utulivu wa akili na kuvumilia vishindo....so kwake amejitafuta akajijua yeye ni nani...na ameamua kuishi kwa hiyo alivyo...kama tumeamua kuamini tunaweza tengeza milion for two positions for week ni sisi na uvumilivu wetu na ndicho tulivyoamua kuliona soko ..tumuache na personality yake inayomuwezesha kupata order 7 kwa siku...if it's true..na nafsi yake imeridhika he is successful.!!!