Ifanye forex kuwa biashara yakukuingizia kipato kidogo kila siku

Knowledge is power, your mind is your big investment......!!! Invest in time to understand it ..... More info +255742768610
 
Tafuta kitabu cha ''' currency trading for dummies by Brian Dullan....pdf km unataka kujua zaidi forex,,,, tembelea babypis.com ,, tamberea tradingview.com kujua km soko la foreign exchange limefunguliwa tembelea www.forex.timezoneconverter.com mengine changanya na yako......!!!!
 
Safi.. a very realistic approach mdogomdgo..
 
Fx sio rahisi kama ulivyoandika urojo hapa. Kuna main uzi wa Fx wa kina Ontario nenda kasome.
 
Ukijua vizuri market structure. .utajua effects ya news ni ndogo sana nayo ni ACCELERATION na sio CHANGING THE DIRECTION. .#Learn more and again....have a safe trading
 
Bado halitakuwa effective sana...sababu ni kwamba traders wengi wazur wanajua mambo ambayo traders wengi wadogo hawajui na gharama yake ni kubwa mno ...mtu hawezi kukupa fo fre pdf au strategy aliyoinunua kwa gharama kubwa ...kwa hiyo mtazamo wangu naona bado hilo group litakuwa na vitu local tu ambavyo vipo nje nje kama maindicators,.trendline, support and resistance and so on....#ushauri wangu ikiwa ww ni #PRICEACTION TRADER ..fanya analysis yako kwa computer it is far better than smartphone....#tradesafe
 
Binafsi nakuelewa unachojarbu kuaminiana japo wapo kucrush...Forex is multidimensional kila mmoja uliangalia soko kwa namna ya kipekee yake ndio maana kuna visaidizi (strategies) zaidi ya 1000 duniani..Ni carrier ambayo siyo rahisi na haijawahi kuwa rahisi lakn watu hufanikiwa kupitia humo....tunamcrush ni vile tumeamua kuangalia mafanikio yake tofauti na yeye na tunaforce angalia mafanikio kama sisi tunavyoona...kufanikiwa huku hamna katiba kuwa kias flan bas tumefanikiwa...kwa utashi wake and his strategy ime fit personality yake ya kuona kupitia hiyo risk ndogo anapata reward na utulivu wa akili yake imemwambia amefanikiwa..he is right..(we succeed when we discover ourselves in market..kias gan unaweza kutolorate risk....that's why kuna scalper, day trad and swing...mmoja kuona soko linaenda up and down na yuko kwenye soko hawez vumilia atafunga na kuchukua chake lakn mwingine hayo mawimbi hayamuogopeshi anaweza hold for days or weeks....ni namn tunatofautiana katika utulivu wa akili na kuvumilia vishindo....so kwake amejitafuta akajijua yeye ni nani...na ameamua kuishi kwa hiyo alivyo...kama tumeamua kuamini tunaweza tengeza milion for two positions for week ni sisi na uvumilivu wetu na ndicho tulivyoamua kuliona soko ..tumuache na personality yake inayomuwezesha kupata order 7 kwa siku...if it's true..na nafsi yake imeridhika he is successful.!!!
 
Well explained. Swing trade kuvumilia mawimbi kazi Ipo

Ukiweza hiyo kitu basi umeshakomaa kwenye Forex🙂🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…