Wamekutapeli chief?
WW USIYE PATIKANA TOKA JANA.BAHADA YA KUNGANISHWA NIPE PESA YANGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Polr sana mkuu, inaonekana wanakupa tabu sana.
Mkuu we acha tu mtu. Toka Jana Adi Leo wengine awapokei sm tenaPolr sana mkuu, inaonekana wanakupa tabu sana.
Jamani apewe stahiki yake hata kama njia inayotumika sio legit
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe ni tapeli ,,,husemi mfano tsh 500 tunapata MB ngapi kwa muda ganiTambua hi ni kazi kama kazi za wengine . Napo kunganisha nitumie pesa zang
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu weka hapa, kwamba ukiwa na 500 unapata MB ngapi kwa muda gani.
Ukiwa na 1000, 1500, 2000 na kadhalika.
Mambo ya kuja pm, kila mtu anauliza seali hilohilo.
Weka wazi vitu hapa watu wavutiwe.
Na hiyo huduma napolipa 2000 kwa muda gani, kifurushi kikiisha nakutafuta nakulipa tena ama ukiniunga mara moja ndio inakua ishajiunga milele.
Hataki kujibu swali la mchanganuo wa vifurushi vyake mfano mtu akiwa na 500 anapata MB ngap badala yake jamaa anang'ang'ania kaibiwa ..anatumia multiple IDs kujaribu kututapeli ....
ivyo ndio vifurushi vya chuo ninavyopata mimiHebu weka hapa, kwamba ukiwa na 500 unapata MB ngapi kwa muda gani.
Ukiwa na 1000, 1500, 2000 na kadhalika.
Mambo ya kuja pm, kila mtu anauliza seali hilohilo.
Weka wazi vitu hapa watu wavutiwe.
Na hiyo huduma napolipa 2000 kwa muda gani, kifurushi kikiisha nakutafuta nakulipa tena ama ukiniunga mara moja ndio inakua ishajiunga milele.
Id yake nyingine ni ipi mkuu, hebu tumuanike kuokoa jahaziHataki kujibu swali la mchanganuo wa vifurushi vyake mfano mtu akiwa na 500 anapata MB ngap badala yake jamaa anang'ang'ania kaibiwa ..anatumia multiple IDs kujaribu kututapeli ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unapata hivi hamna haja ya kujiunga line ya chuoivyo ndio vifurushi vya chuo ninavyopata mimiView attachment 993181
Sent using Jamii Forums mobile app