Ifanye laini yako ya tigo kuwa ya chuo (bando za chuo)

Ifanye laini yako ya tigo kuwa ya chuo (bando za chuo)

vifurushi vya kawaida hauwezi kupata dk 30 sms 200 mb 200 kwa 500 vya kawaida unapata dk 16 sms100 na mb3
Screenshot_20190113-113734.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
chuo, ukipata hichi bila kuwa na laini ya chuo nitafute nikupe 10000 chap chap na unielekeze code yake ili nijiunge bila laini ya chuo
Screenshot_20190113-113352.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom