Ifanye laini yako ya tigo kuwa ya chuo (bando za chuo)

Ifanye laini yako ya tigo kuwa ya chuo (bando za chuo)

Na wewe onyesha kibali ulichopewa kutoka Tigo, isije kuwa ni tapeli
Fanya laini yako iwe ya chuo Kwa bei cheeee kabisa . Ni tigo pekee tu
Call me 0714248444 au nitumie sms
Malipo ni bahada ya laini yako kuwezeshwa.
Unaweza uka ni pm au comment namba yako .
Malipo ni Tsh2000/= pesa ya kitanzania

NEW UPDATE 13/01/2019 TIME 11:12
KUTOKANA NA BAHAZI YENU KANITAPELI BAHADA YA HUDUMA SASA NI PESA KWANZA.

bahazi wanakosa ungwana .mtu nakunganisha .unadai ujapata . wengine munanitumia namba za Bibi zenu waliopo ikwilili. Mtu nakunganisha unadai kunilipa Adi kesho .mwengine ampokei simu.

IKIFIKA SAA KUMI NITOA LIST ZA NAMA WALIO NITAPELI
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Code yako tutaifanyia kazi kuanzia kesho.
Umepewa access ya kuunga laini za chuo kwa watu wanaohusika(wanafunzi chuoni) na umeambiwa uwaunge bure bila malipo. Ww unakuja kutangaza biashara tena mitandaoni.
Kila siku mnaitwa matapeli mtaani lakini bado hamkomi tu.
Uza kile unachoambiwa uuze,na kile cha bure basi gawa bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza povu mkuu pambana na hali yako au ulitaka jamaa awe kibaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PIA KAWAMBIE KWANINI AWAKUNILIPA KAMISHENI YANGU YA MWEZI WA TISA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ulipaswa umalizane na viongozi wako.

Ngoja nkushauri kitu kizuri ili baadae usijutie.

Kampuni imeweka fungu(pesa) kwa ajili ya wanafunzi(wanachuo) waunganishwe katika mfumo wa kupata vifurushi vya chuo,na wamewapa access nyie(freelancer) ili muwaunganishe hao wahusika tu.!

Sasa ww kutangaza humu kuwa unaunga vifurushi kwa watu ambao sio walengwa,maana yake watu wengi watajiunga vifurush vya bei rahisi na wataikosesha kampuni mapato ambayo ilitakiwa ipate ili ijiendeshe.

Kosa lako ni kuhujumu kampuni na pia ni kuikosesha serikali mapato(uhujumu uchumu)

Ukisoma hapo utaona kama nakutishia vile,lkn madhara utakayokuja yapata huko mbele,utajutia hata hizo elfu2 unazopokea sasa hv.

Kupitia namba yako uloweka hapo juu,tumefahamu vitu vingi sana vinavyokuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FANYA LOLOTE MKUU

Back
Top Bottom