yohana vahaye
Member
- Feb 4, 2018
- 25
- 15
Kiongozi nashukuru umeniunga kupitia line yangu inayoishia 666661 big up sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Respect mkuuKiongozi nashukuru umeniunga kupitia line yangu inayoishia 666661 big up sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mkuu . awajamaa wanyonyaji tena waziwazi .. wananitapeli KAMISHENI yangu miezi mitatu ..Acha wivu wa ki-Mobetto wewe...
Dume zima umekalia kuchawia ridhiki za wanaume wenzio.
Fala kweli wewe, majitu yenyewe kumbe matapeli tu nyie, mnapewa bajeti na kampuni muwalipe hawa freelancer kumanina zenu mnazifinya mfukoni hamuwalipi kamisheni zao. Mafala wakubwa nyie
Umeyataka subiri uyaoge vya kutosha!!Mbona natukanwa hv!!! Wahusika mpo wapi?
Naamini Jf ni sehem ya mtu kutoa maoni na kuchanguia kwa uhuru na uwazi,iweje ww unitukane na kunizalilisha kiasi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshakuelewa,
Acha polojo ww ... Matendo ya watu wengine univeshe mimi . Kati ya freelance karibu 300 walio kuwepo kwenye morning meeting mimi tu ndo niwe jeuri kiasi hicho... Amukunilipa nikajotenga nanyi ...nakwambieje Fanya chochote utakacho ifikapo kesho .sawa ili mradi Uzi upo apa tutaleta mrejesho nani jiwe nani naziMkuu mbona vitu vipo wazi!.
Serikali ipo,viongozi wapo. Kama umeona umezurumiwa kwanini hukuwashitaki ama kwenda ngazi za juu?? Vyombo husika vya kutetea masilahi ya wafanyakazi(freelancer) vipo .
Nishakuambia mpaka sasa taarifa zako zipo wazi..
Nikuulize tu kijana;
Sio ww ulitishia kuchoma magari ya kampuni yako moto? Sio ww ulileta vurugu kwenye kikao ofisini kwako(morning meeting) na kuanza kuhamasisha uwapige mabosi zako?. Sio ww ulitishia kuwachoma wakubwa zako na bisibisi?
Sio ww ulitukana wakuu wako wa kazi na kuwatishia maisha na ukawaambia utawafanyizia mtaani?
Ama unataka niseme nn kuaminisha uma hiki unacholalamika huku kuwa ni cha upotoshaji?
Mabosi zako walikukalia kimya na kusema wakusamehe tu kwa sababu kijana unatafuta maisha,lkn videos na matukio niliyoyataja hapo juu ninazo na sikuwa nayajua haya kabla. Ila kupitia huku jf,nimetumiwa video zako.
Narudia tena! Sikutishi,ila nakuelekeza tu. Maana ww ni kijana na unatafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutisha watu .. ww si umesema kesho utanifungia code .. Fanya man
Mm nifanye kama nan? Mimi sio mfanyakazi wa tigo kama ulivyo ww,japo boss wako kakukana leo na kusema keshakufukuza kazi. Hayo mtajuana wenyewe.
Mm ni raia tu kama ww.
Uzalendo wa juu zaidi ni kutoa utumishi kwa taifa lako. Endelea kuhujumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nifanye kama nan? Mimi sio mfanyakazi wa tigo kama ulivyo ww,japo boss wako kakukana leo na kusema keshakufukuza kazi. Hayo mtajuana wenyewe.
Mm ni raia tu kama ww.
Uzalendo wa juu zaidi ni kutoa utumishi kwa taifa lako. Endelea kuhujumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nifanye kama nan? Mimi sio mfanyakazi wa tigo kama ulivyo ww,japo boss wako kakukana leo na kusema keshakufukuza kazi. Hayo mtajuana wenyewe.
Mm ni raia tu kama ww.
Uzalendo wa juu zaidi ni kutoa utumishi kwa taifa lako. Endelea kuhujumu
Sent using Jamii Forums mobile app