never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,013
- Thread starter
- #161
sasa mkuu si uwaunge hao bibi zao wa kidigitali au vipi!?wengine munanitumia namba za Bibi zenu waliopo ikwilili
Tatizo pesa. nampigia Bibi anadai ndio kaona sms lakini akuniambia ni unganishesasa mkuu si uwaunge hao bibi zao wa kidigitali au vipi!?
Umeipataje hiiKama unatoa zaidi ya ofa hizi watakufata ila kama uko chini pole yako View attachment 993760
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijisumbue Na uyo yupo mkoani.tena matumizi yake ni chini ya 5000 Kwa mwenzi .tigo wanamtaka akue kimatumizi ivo Wana mtamanisha
Napataje hizo bundle?Kama unatoa zaidi ya ofa hizi watakufata ila kama uko chini pole yako View attachment 993760
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi wameipenda huduma yngBundle za tigo chuo hazina deal, unapewa 1gb hlf wanagawa 500mb kwaajili ya WhatsApp na Facebook, why waniamulie? Wengine hatutumii Facebook Mbs zinapotea bure!
Vizuri mkuu, mie nawalalamikia Tigo
Inafwatana Na menu .unayo tumia pia area uliyopo Na matumizi yako .si kila bando unazo pata wengine wanapata piaVizuri mkuu, mie nawalalamikia Tigo
Nilidhani line zote za chuo zina menu mojaInafwatana Na menu .unayo tumia pia area uliyopo Na matumizi yako .si kila bando unazo pata wengine wanapata pia
Sent using Jamii Forums mobile app