Ifanye pesa isiwe ya msimu, buni vyanzo vingine vya mapato

Ifanye pesa isiwe ya msimu, buni vyanzo vingine vya mapato

Kwanza unakipaji cha kuandika,arafu ni inspirational speaker,hizi zote ni hela,ntakuwa nasoma uzi wako kila asubuhi mpaka nafsi yangu ielewe inachotakiwa kufanya
 
Kabisa dear!!
Uko na akili mingi sana kumbe nilikua nakuchukulia simpo simpo asee!!
Hapo mwamba kapata mke jembeeee
Mwamba yupi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe endelea kunichukulia hivyo hivyo me ndo napenda nikiwa kwenye ile character ya kuchachua.
 
Kwanza unakipaji cha kuandika,arafu ni inspirational speaker,hizi zote ni hela,ntakuwa nasoma uzi wako kila asubuhi mpaka nafsi yangu ielewe inachotakiwa kufanya
Naamini hiyo nafsi itafanikiwa sababu β€œNIA” unayo na nitakuwa alarm yako πŸ˜‰
 
Wifi yangu,
Nikisoma vitu kama hivi kichwa changu kinachemka na usingizi unanigomea usiku..
Nashukuru sana kwa a very great reminder, Kaka Countrywide hapa mke tunaye.
Yupo vizuri sana kwenye business, she is very bright.
Ni moja ya wadada wachache sana ambao nafahamu wapo very bright and focused kwenye business
 
Ana akili kubwa sana, nimemuambia hii mara nyingi. Akili hii alishaiweka kwenye ground years ago, she is a superwoman and a real inspiration
Sure mkuu! Nami nimeona hili!!
Hii thread mtu anaeza ichukulua simpo but ni bonge moja moja thread nzuri ya maana na msingi sana kama victims tutaiwekea utekelezaji!
 
Back
Top Bottom