Ife ana Frelimo - Samora Machel

..hivi tatizo ni macho yangu, au?

..kwamba uzi huu uko kwenye jukwaa la " "entertaiment"!!
Mkuu kama alivyosema masopakyindi , kwa walioishi zama ni hisia tu za kimapunduzi. Ni wakati uzalendo ulikuwa uzalendo na wananchi walikuwa wananchi.

Mmoja wa watu walioupenda huo wimbo alikuwa Khalid (RIP), yuke mmiliki wa Makondeko. Alikuwa RDD Mara na alipiga gita katika maadhimisho mbali mbali na huu wimbo ulikuwa 'favorite'

Mkuu, Sebastiano Mabote na Marcelino Dos Santos. Marcelino alikuwa na nguvu sana katika Frelimo. Ilikuwa kama Taswira ya chama. Kuna nyakati aliwafunika hata akina Samora kwa charisma. Yaani habari ya Marcelino ilipewa kipaumbele sana

Nadhani MOD wahamishie uzi katika jukwaa la historia
 
..hapo naamini ulimaanisha Alberto Chipande.

..umemsahau Sabastio Mabote.

..na Raimundo Pachinuapa.
Safi mkuu, na memmory inaingia ukungu sasa!
These were our heroes, their struggle ,our struggle.
 
Samora ameacha Watoto wengi hapa Tanzania... Kuna baadhi nilisoma nao O-Level enzi hizo... Sijui wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…