Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Mkuu kama alivyosema masopakyindi , kwa walioishi zama ni hisia tu za kimapunduzi. Ni wakati uzalendo ulikuwa uzalendo na wananchi walikuwa wananchi...hivi tatizo ni macho yangu, au?
..kwamba uzi huu uko kwenye jukwaa la " "entertaiment"!!
Mmoja wa watu walioupenda huo wimbo alikuwa Khalid (RIP), yuke mmiliki wa Makondeko. Alikuwa RDD Mara na alipiga gita katika maadhimisho mbali mbali na huu wimbo ulikuwa 'favorite'
Mkuu, Sebastiano Mabote na Marcelino Dos Santos. Marcelino alikuwa na nguvu sana katika Frelimo. Ilikuwa kama Taswira ya chama. Kuna nyakati aliwafunika hata akina Samora kwa charisma. Yaani habari ya Marcelino ilipewa kipaumbele sana
Nadhani MOD wahamishie uzi katika jukwaa la historia