OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Jadili mada kiushabiki sio matusiDuh,haya bhana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadili mada kiushabiki sio matusiDuh,haya bhana..
Wewe ni Yanga na Yanga ipo vizuri, sasa kelele za niniKama ni mtu wa mpira na mshabiki wa Simba unajua kuwa timu yetu haiko katika ubora unaotakiwa. Huwezi kufananisha na Yanga kwa sasa, ndio maana yangu hiyo kufananisha na Yanga. Yanga kwa sasa ni bora zaidi ya Simba hilo halina ubishi. Na sioni sababu ya kutumia matusi kama wewe ni mtu wa mpita tujibu kwa hoja tu
Fatilia nyuzi zangu mimi sio Utopolo. Ila ni mkweli tusiwe tunajidanganya. Pamoja na Yanga kununua mechi, marefa, kuroga lakini timu wanayo nzuri kila idara( sisi namba 6 na CB ni changamoto ukimtoa Inonga), wanakocha mzuri na anaijua timu ( Nabi Simba tulimtaka kabla Yanga hawajaingia mipango yetu wakimtumia Manara), pia wanabenchi la ufundi zuri (Kaze ana leseni ya kufundisha timu ya ligi ya mabingwa Afrika, yupo yule mkongomani kocha wao wazamani pia). Timu inacheza kimfumo, walikuwa wanaweza mechi hii kumuweka benchi Feisal, mechi ijayo benchi Aziz Ki, mechi ijayo Banga benchi. Ukicheza kimfuko hutegemei mtu mmoja, pale Yanga mwenye uhakika ni Mayele tu ambaye sasa baada ya Musonda kuja anaweza mechi zingine akapumzishwa na bado angalia na usajili wao wanaohusishwa usishangae wanamuongeza Bruno wa Singida United. Lazima tukubali japo GSM ni mpigaji tu pale yanga lakini anajua kula na kipofu ni lazima timu ifanye vizuri mashabiki wafurahi.Wewe ni Yanga na Yanga ipo vizuri, sasa kelele za nini
Kama simba hii ndiyo mbovu na iko robo Yanga ni mbovu sana ndiyo maana ilifurushwa itoke champions leagueNi suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu naa fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali.
Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu faibali na kuweka rekodi zaidi.
Bora kwa kutumia kipimo gani mkuu maana zote zilikuwa champions league kwa kutumia kipimo hiki ipi ni bora?Kama ni mtu wa mpira na mshabiki wa Simba unajua kuwa timu yetu haiko katika ubora unaotakiwa. Huwezi kufananisha na Yanga kwa sasa, ndio maana yangu hiyo kufananisha na Yanga. Yanga kwa sasa ni bora zaidi ya Simba hilo halina ubishi. Na sioni sababu ya kutumia matusi kama wewe ni mtu wa mpita tujibu kwa hoja tu
Hakuna cha mkweli mkuu wewe ni Yanga ha ha usiogope kujitangaza waziwaziFatilia nyuzi zangu mimi sio Utopolo. Ila ni mkweli tusiwe tunajidanganya. Pamoja na Yanga kununua mechi, marefa, kurogo lakiki timu wanayo nzuri kila idara( sisi namba 6 na CB ni changamoto ukimtoa Inonga), wanakocha mzuri na anaijua timu ( Nabi Simba tulimtaka kabla Yanga hawajaingia mipango yetu wakimtumia Manara), pia wanabenchi la ufundi zuri (Kaze ana leseni ya kufundisha timu ya ligi ya mabingwa Afrika, yupo yule mkongomani kocha wao wazamani pia). Timu inacheza kimfumo, leo walikuwa wanaweza mechi hii kumuweka mechi Feisal, mechi ijayo benchi Aziz Ki, mechi ijayo Banga benchi. Ukicheza kimfuko hutegemei mtu mmoja, pale Yanga mwenye uhakika ni Mayele tu ambaye sasa baada ya Musonda kuja anaweza mechi zingine akapumzishwa na bado angalia na usajili wao wanaohusishwa usishangae wanamuongeza Bruno wa Singida United. Lazima tukubali japo GSM ni mpigaji tu pale yanga lakini anajua kula na kipofi ni lazima timu ifanye vizuri mashabiki wafurahi.
Sisi huku ndio Mo analalamika pesa usajili zinaliwa wanaletwa wachezaji kima Sawadogo, CEO kwa sababu anazuia upigaji wamemkataa, makundi simba kuna kundi halimtaki Mo , kuhujuamiana sasa timu utatengeneza saa ngapi? Tuambiane ukweli tu Yanga wako vizuri na kitu pekee tulichokuwa tunajivunia Simba ni mafanikio kimataifa sasa Yanga wanaenda kufikia na hata kutuzidi mafanikio. Muda si mrefu tutasema nusu fainali kitu gani sisi tulifika faina 1993 na Asec. Labda tunadilike tuambiane ukweli
Kuna cha kujadiiwa hapa!? Mimi na ww nani kamtukana mwenzake usitake nikufungulie matusi ya ukweliukweli uzi waki uuone mchungu huu nimejariby kukuheshimu tu kwa sababu najua matusi sio hulka yako,muulize mwenzio Genta ananijua vizuri tu ingekuwa yule ndio kantukana kama wewe ulivyomkashifu mama yangu hapo huu uzi ungeshakuwa uwanja wa vita hili hata mods wanalijua..Jadili mada kiushabiki sio matusi
wydad casablancaOna huyu bwege anajifichia kwenye Simba. Timu mbovu inafika robo fainali? Yaani kati ya timu 1000 zimebaki timu nane bora. Halafu unasema timu sio nzuri
Nillijua tu mtu kwa akili mdogo au kutosoma vizuri post yangu ataingia mtego huu ,neno "kama" nililolitumia linakata mzizi wa fitina ikimaanisha hakuna jipya ni aina ya mafanikio yale yale kuhusu Top 10 kitu ambacho imekuwa kama wimbo wa Taifa kwenu.Hata akili ya kutofautisha nyakati huna? IFFHS hutoa kila baada ya muda fulani. Mara ya mwisho ilikuwa February 2023
Sasa wewe unaumia nini tukileta hapa. Kama habari haikufai wewe itafaa wengine.Nillijua tu mtu kwa akili mdogo au kutosoma vizuri post yangu ataingia mtego huu ,neno "kama" nililolitumia linakata mzizi wa fitina ikimaanisha hakuna jipya ni aina ya mafanikio yale yale kuhusu Top 10 kitu ambacho imekuwa kama wimbo wa Taifa kwenu.
Mwenyekiti wa heshima Ndg Rage alikuwa sahihi [emoji849][emoji849] [emoji849]Mbumbumbu mama yako. Nani kakuita kusoma
Ujinga mtupu huo hamna ranking wala nini?Ranking za kihuni Future ndio timu gani eti inawazidi Mamelodi Sundowns,
SIMBA inamzidi nini Esperence ?
Sina Hela za ukwepaji Kodi za kuzichezea kwenye mambo yasiyokuwa na manufaa.
Itatusaidia Jumapili ijayo. Onyango atazidi kuwa kijana.Ndo takataka gani hii?
Timu inaweza kuwa nzuri jana leo ikawa mbovu, na ile iliyokuwa mbovu jana leo ikawa nzuri.Bora kwa kutumia kipimo gani mkuu maana zote zilikuwa champions league kwa kutumia kipimo hiki ipi ni bora?
Sawa sasa kwa maelezo haya je nitakuwa sahihi nikisema simba ni nzuri na yanga mbovu kwa kigezo changu cha champions league!?Timu inaweza kuwa nzuri jana leo ikawa mbovu, na ile iliyokuwa mbovu jana leo ikawa nzuri.
Chukulia mfano wa mbabe wa UTO, IHEFU kabla hajamfunga. Nani alitarajia kuwa inaweza kujinasua mkiani na iangalie performance yake kwa sasa.