WACHA ULOZI YANGA YA 9 SIMBA WA 10,UTAKE USITAKE MIEZI MIWILI MBELE YANGA TOP 3 YUMO,SO JIANDAE KISAIKOLOJIA
IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! π΄π
Top 10 (1 April 2022 β 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points πͺπ¬
2. Wydad AC. 175 points π²π¦
3. Zamalek SC. 163 points πͺπ¬
4. Pyramids FC. 142.5 points πͺπ¬
5. Al Hilal. 134.25 points πΈπ©
6. Raja. 127.5 points π²π¦
7. Future FC. 125.75 points πͺπ¬
8. Mamelodi 123.5 points πΏπ¦
9. Simba SC. 122 points πΉπΏ
10. FAR Rabat. 114.5 points π²π¦
IFFHS
Upo dunia gani mkuu, mpya hii hapa imetoka jana 14/05/2023.wewe ndio ufute uongo wako
ingia kwenye hii site hapa
itakuwa vizuri ukiweka linkUpo dunia gani mkuu, mpya hii hapa imetoka jana 14/05/2023.View attachment 2622752
Once a Dunduka always a Dunduka πππitakuwa vizuri ukiweka link
Uliona mbaliNi suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu na fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali.
Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu fainali na kuweka rekodi zaidi.
Mimi Simba ila kwenye ukweli wa kimpira huwa nasema ukweliUliona mbali