IFFHS Ranking: Simba SC ya tisa, Yanga haimo

IFFHS Ranking: Simba SC ya tisa, Yanga haimo


IFFHS MEN'S CLUB CONTINENTAL RANKING! πŸ”΄πŸŒ

Top 10 (1 April 2022 – 31 March 2023)
1. Al Ahly. 217 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
2. Wydad AC. 175 points πŸ‡²πŸ‡¦
3. Zamalek SC. 163 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
4. Pyramids FC. 142.5 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
5. Al Hilal. 134.25 points πŸ‡ΈπŸ‡©
6. Raja. 127.5 points πŸ‡²πŸ‡¦
7. Future FC. 125.75 points πŸ‡ͺπŸ‡¬
8. Mamelodi 123.5 points πŸ‡ΏπŸ‡¦
9. Simba SC. 122 points πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
10. FAR Rabat. 114.5 points πŸ‡²πŸ‡¦

IFFHS
WACHA ULOZI YANGA YA 9 SIMBA WA 10,UTAKE USITAKE MIEZI MIWILI MBELE YANGA TOP 3 YUMO,SO JIANDAE KISAIKOLOJIA
 
Achaneni na hizo rankings za mabeberu.
Juzi Kati walituambia sisi tuko uchumi wa Kati, Tena wakasema sisi tuko Kama donor country wakati unaona kabisa tunapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
Jiulize muda huu leo 15/5 Yanga iko wapi na mwenye namba Yuko wapi na anafanya nini.
 
wewe ndio ufute uongo wako

ingia kwenye hii site hapa

Upo dunia gani mkuu, mpya hii hapa imetoka jana 14/05/2023.
Screenshot_20230515-004956.jpg
 
Update kaka ranking mpya za IFFHS za mwezi huu tuone sasa timu yetu ya kufa kiume tupo pale pale au tumepanda
 
Ni suala la muda watani wetu Yanga watatuacha. Kwanza nawatabiria kufika fainali ya kombe la shirikisho. Timu ngumu ni za Morocco tu na fainali ni moja tu, lolote linaweza kutokea. Kwa kweli nawapongeza kwa maendeleo ya kisoka wanayaofanya, miaka mingi hawakufika makundi na sasa wanauhakika na nusu fainali.

Msimu ujao watakuwa Champions league na nawaona wakiendelea kufika hatua za mtoano, kama Simba timu yetu haiko vizuri tunafika mtoano Yanga kuanzia msimu ujao watafika na kuingia nusu fainali na kuweka rekodi zaidi.
Uliona mbali
 
 
Back
Top Bottom