IFFHS: Simba SC ya 11 kwa ubora Africa

Hamna Cha takwimu apo, mbumbumbu fc wanaokoteza takwimu Kwa ma mbumbumbu wenzao. Tangu wajue iyo timu Ina ma juha wengi basi Wana wakandika takwimu hewa tu.
 
Unadhani wana akili 0.5 kama za Utopolo? Unawaza upuuzi tu
 
WWW.IFFHS.COM TAASISI INAYOTAMBULIKA NA FIFA KWA DATA ,NI OFFICIAL PATNER WA FIFA TANGU 1984 KAMA KUNA MTU HATAKI AKAMTAFUTE WAZIRI MCHENGERWA AWAKARIPIE...HABARI HII IMEKUWA KUBWA HUKO SOUTH AFRICA NAKO WANASHEHEREKEA TEAM YAO YAO KUWA YA 87 DUNIANI

 
South hakuna mbumbumbu kama nyinyi, hakuna klabu ata Moja inaweza kuingia kwenye vilabu Bora 100 kutoka south Afrika. Ukichukua timu 20 kutoka katika ligi 5 Bora barani Ulaya peke yake hawaingii apo hujakwenda America ya kusini, kaskazini, Asia uje uku Afrika.
Mbumbumbu fc mmelogwa.
 
Hawa watoa takrimu washamba hawajui uto n unbeaten utopolo andamaneni kwenda Cas
 
Pole mkuu kunywa maji mengi ndugu yangu ,simba queens ni ya 9 kwa upande wa wanawake afrika, kamuite mcherengwa aje kuwasaidia kulia

 
Kwanza usichokijua IFFHS sio taasisi ya kiafrika kama ambavyo una dhani

Lakini pili taasisi za kiafrika hazikuhitaji wewe uziamini ili ziwe sahihi katika data zake.

Kukosekana kwa namba 9 kuna influence gani ya moja kwa moja inayothibitisha kuwa timu haistahili kuwekwa kwenye rank hizo?

Unaposema Simba tumewazidi kikosi na Quality una maanisha nini?

Huo u quality tunauona kwenye ligi kuu, refa akiwa Arajiga.

Kimataifa tumeuona kwa Zalan ambao ni typically vibonde, baada ya hapo ni vichekesho na kupeana comfort tu kuwa mtaenda kupindua meza.

Mmetuzidi lawama na kweli tunajua
 
Poleee hata tukiingia makundi itakua figisu za madame CEO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…