Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani wana akili 0.5 kama za Utopolo? Unawaza upuuzi tuOkweli ndio huo hao wanaotoa takwimu nadhani bado wanaifikiria ile simba ya kina Luis miquossone...kumbe hawajui simba ya sasa ya kumtegemea phiri tu,hata kocha mkuu hata strickers hakuna!
Bado nina shida na watoa takwimu wa afrika na updates zao
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Okoteza na za Utopolo utuleteeHamna Cha takwimu apo, mbumbumbu fc wanaokoteza takwimu Kwa ma mbumbumbu wenzao.
Wana point 0.05
Ingia mwenyewe kwenye iyo data base ya cafOkoteza na za Utopolo utuletee
Huyu mjinga hata haelewi ameulizwa nini.Ingia mwenyewe kwenye iyo data base ya cafView attachment 2385832View attachment 2385833
Pole mkuu kunywa maji mengi ndugu yangu ,simba queens ni ya 9 kwa upande wa wanawake afrika, kamuite mcherengwa aje kuwasaidia kuliaSouth hakuna mbumbumbu kama nyinyi, hakuna klabu ata Moja inaweza kuingia kwenye vilabu Bora 100 kutoka south Afrika. Ukichukua timu 20 kutoka katika ligi 5 Bora barani Ulaya peke yake hawaingii apo hujakwenda America ya kusini, kaskazini, Asia uje uku Afrika.
Mbumbumbu fc mmelogwa.
eti footballdatabase.com ni ya CAf?? hahahahaha hao jamaa wanatumia AI algorithm kama ile ya ma games nishamfafanulia lakini maskiniya Mungu ndizo data zinazompa furaha , sasa tufanye data zake hizo ni official sijui utopolo ya ngapiHuyu mjinga hata haelewi ameulizwa nini.
Tukutane tarehe 23....tumuone mwenye rank nzuri.alafu ndo wajilinganishe na sisi Nguvu moja
Ningekuwa mimi ndio wewe sasa hivi niko busy kutafuta chimbo la kujificha jumapili ikifika nisionekane kabisa mjini.Najaribu kumpigia [emoji1690] swahiba wangu Ismail Aden Rage ili aje awaone vijana wake namna wanavyo jisifia huku! Naona hapokei simu.
Kwanza usichokijua IFFHS sio taasisi ya kiafrika kama ambavyo una dhaniSijawahi ziamini Taasisi za kiafrika katika takwimu,figisu nyiiingi,
Na dada yenu alivyojipenyeza hadi huko juu tutasikia mengi,
Kwa ubora gani alionao simba? Timu haina hata namba 9 ?.
Simba mnajua kuwa tumewazidi kwa kila kitu kuanzia kikosi hadi quality..
Ina maana kama nyie mmewekwa wa 11 ki mawazoni mwenu mjue kabisa hapo sisi ni wa 7...kwa sababu sisi tumewazidi kwa kila kitu na hilo mnalijua vizuri...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nyinyi endeleeni tu na tambo zenu za mdomoni. Ikifika tarehe 23, kama kawaida! Tunawapelekea pumzi ya moto.alafu ndo wajilinganishe na sisi Nguvu moja
Poleee hata tukiingia makundi itakua figisu za madame CEO...Sijawahi ziamini Taasisi za kiafrika katika takwimu,figisu nyiiingi,
Na dada yenu alivyojipenyeza hadi huko juu tutasikia mengi,
Kwa ubora gani alionao simba? Timu haina hata namba 9 ?.
Simba mnajua kuwa tumewazidi kwa kila kitu kuanzia kikosi hadi quality..
Ina maana kama nyie mmewekwa wa 11 ki mawazoni mwenu mjue kabisa hapo sisi ni wa 7...kwa sababu sisi tumewazidi kwa kila kitu na hilo mnalijua vizuri...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app