IFFHS: Simba SC ya 11 kwa ubora Africa

Yanga mbona siioni
 
Jitahid ku "hide" ujinga wako
 
Kuna dawa inaitwa power safe a.k.a ceftriaxone hii hutolewa kwenye mishipa ya damu(IV) ukipigwa kwenye misuli(IM) kalio litawaka moto. Nahisi mtoa mada amekupiga 2g tena kwenye kalio polee vumilia ndo dawa hiyo.
 
Hahahhaha hahaahah dooooooo muda mwingine ni bora kunyamaza uwaachie wenye timu yao tutambe. Kwani mnateseka mkiwa wapii
Umecheka kama nilivyocheka hii wiki mmenenepa sana Kwa Raha za Simba etiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Na hii;

 

Mara ya mwisho Umefunga simba lini??
 
Umesikia Yanga imekuwa ya 3 mwaka huu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…