Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
Ndio mlichobakia kusema .. hata Prison Huwa wanatufunga na kufurahi saaana.Nyinyi endeleeni tu na tambo zenu za mdomoni. Ikifika tarehe 23, kama kawaida! Tunawapelekea pumzi ya moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mlichobakia kusema .. hata Prison Huwa wanatufunga na kufurahi saaana.Nyinyi endeleeni tu na tambo zenu za mdomoni. Ikifika tarehe 23, kama kawaida! Tunawapelekea pumzi ya moto.
Sisi huwa tunahuzunika kuwafunga kila mechi.Ndio mlichobakia kusema .. hata Prison Huwa wanatufunga na kufurahi saaana.
Yanga mbona siioniShirikisho la Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu IFFHS limetoa Orodha ya klabu 20 za Africa (CAF) ambazo Zina alama nyingi (Points) Kwa kipindi Cha Miezi 12.
Points hizo zimezingatia ubora wa Michuano ya Kimataifa na Ligi ya ndani kwa kila klabu huku ubora wa Ligi ya ndani ukipewa uzito zaidi.
Source: IFFHS
====
The highest ranked clubs in Africa as of 1 October 2022:
1. Al Ahly (Egypt) - 21 (+1)
2. Wydad Casablanca (Morocco) - 48 (+1)
3. Zamalek (Egypt) - 75 (+15)
4. Petro de Luanda (Angola) - 77 (+8)
5. Mamelodi Sundowns - 87 (+1)
6. CR Belouizdad (Algeria) - 90 (+8)
7. Pyramids (Egypt) - 98 (+1)
8. RSB Berkane (Morocco) - 99 (+14)
9. Raja Casablanca (Morocco) - 114 (-12)
10. Es Setif (Algeria) - 127 (-9)
11. Simba (Tanzania) - 131 (+23)
12. JS Saoura (Algeria) - 139 (+9)
13. Orlando Pirates (South Africa) - 143 (-10)
14. Esperance (Tunisia) - 169 (-2)
Jitahid ku "hide" ujinga wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya tuanze hesabu za ubora.
ENGLAND 20
SPAIN 20
ITALY 20
GERMAN 18
FRANCE 20
NETHERLANDS 18
BELGIUM 18
BRAZIL 20
ARGENTINA 20
Tuachane na zile daraja la kwanza hizo nchi kuna klabu yoyote itazidiwa ubora na SIMBA???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MBUMBUMBU FC
Kuna dawa inaitwa power safe a.k.a ceftriaxone hii hutolewa kwenye mishipa ya damu(IV) ukipigwa kwenye misuli(IM) kalio litawaka moto. Nahisi mtoa mada amekupiga 2g tena kwenye kalio polee vumilia ndo dawa hiyo.Sijawahi ziamini Taasisi za kiafrika katika takwimu,figisu nyiiingi,
Na dada yenu alivyojipenyeza hadi huko juu tutasikia mengi,
Kwa ubora gani alionao simba? Timu haina hata namba 9 ?.
Simba mnajua kuwa tumewazidi kwa kila kitu kuanzia kikosi hadi quality..
Ina maana kama nyie mmewekwa wa 11 ki mawazoni mwenu mjue kabisa hapo sisi ni wa 7...kwa sababu sisi tumewazidi kwa kila kitu na hilo mnalijua vizuri...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Umecheka kama nilivyocheka hii wiki mmenenepa sana Kwa Raha za Simba etiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hahahhaha hahaahah dooooooo muda mwingine ni bora kunyamaza uwaachie wenye timu yao tutambe. Kwani mnateseka mkiwa wapii
Tujinenepee tuu best ake hahaUmecheka kama nilivyocheka hii wiki mmenenepa sana Kwa Raha za Simba etiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Aahaaaaaa, OKW BOBAN SUNZU njoo hukuLeo tuna wakataa
Sijawahi ziamini Taasisi za kiafrika katika takwimu,figisu nyiiingi,
Na dada yenu alivyojipenyeza hadi huko juu tutasikia mengi,
Kwa ubora gani alionao simba? Timu haina hata namba 9 ?.
Simba mnajua kuwa tumewazidi kwa kila kitu kuanzia kikosi hadi quality..
Ina maana kama nyie mmewekwa wa 11 ki mawazoni mwenu mjue kabisa hapo sisi ni wa 7...kwa sababu sisi tumewazidi kwa kila kitu na hilo mnalijua vizuri...
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Umesikia Yanga imekuwa ya 3 mwaka huu??Shirikisho la Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu IFFHS limetoa Orodha ya klabu 20 za Africa (CAF) ambazo Zina alama nyingi (Points) Kwa kipindi Cha Miezi 12.
Points hizo zimezingatia ubora wa Michuano ya Kimataifa na Ligi ya ndani kwa kila klabu huku ubora wa Ligi ya ndani ukipewa uzito zaidi.
Source: IFFHS
====
The highest ranked clubs in Africa as of 1 October 2022:
1. Al Ahly (Egypt) - 21 (+1)
2. Wydad Casablanca (Morocco) - 48 (+1)
3. Zamalek (Egypt) - 75 (+15)
4. Petro de Luanda (Angola) - 77 (+8)
5. Mamelodi Sundowns - 87 (+1)
6. CR Belouizdad (Algeria) - 90 (+8)
7. Pyramids (Egypt) - 98 (+1)
8. RSB Berkane (Morocco) - 99 (+14)
9. Raja Casablanca (Morocco) - 114 (-12)
10. Es Setif (Algeria) - 127 (-9)
11. Simba (Tanzania) - 131 (+23)
12. JS Saoura (Algeria) - 139 (+9)
13. Orlando Pirates (South Africa) - 143 (-10)
14. Esperance (Tunisia) - 169 (-2)
Tukuwekee bado screenshot hapa??Screen shot uweke hapa . Utopolo hawatakuamini
Ajabu sana wakiongozwa na KalpanaLeo tuna wakataa