Zamu yenu kujisifia kuleNajaribu kumpigia 🤙 swahiba wangu Ismail Aden Rage ili aje awaone vijana wake namna wanavyo jisifia huku! Naona hapokei simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamu yenu kujisifia kuleNajaribu kumpigia 🤙 swahiba wangu Ismail Aden Rage ili aje awaone vijana wake namna wanavyo jisifia huku! Naona hapokei simu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Huyu anatakiwa akaoge mto Jordan sio kwa gundu hiliIla mhasibu ni mzee wa mission impossible, maana kila anachoanzisha lazima kimrudie dadeki
Sisi guvu moya tupowapi hapo hii sio adobe kweli yaani inawezekanaje?[emoji116]
View attachment 2749618
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imekaa kimchongo aiseee...bora hata Simba ilikua ya 11 unaweza amini..ila hii ya nyie kuwa juu ya mamelody... ni upuuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imekaa kimchongo aiseee...bora hata Simba ilikua ya 11 unaweza amini..ila hii ya nyie kuwa juu ya mamelody... ni upuuzi
Hawa ndio wametoa kwamba yanga ni ya 3 Afrika kwa ubora ?Screen shot uweke hapa . Utopolo hawatakuamini
HahahahahahaNajaribu kumpigia 🤙 swahiba wangu Ismail Aden Rage ili aje awaone vijana wake namna wanavyo jisifia huku! Naona hapokei simu.