shamariwa chool
JF-Expert Member
- Dec 14, 2024
- 265
- 248
Wazee wa supu ya vbudu. Wanaokoteza furaha vichochoron😂😂😂Hizi takwimu za vichochoroni tuliamua kuachana nazo na wala hatuzitumii kuji mwambafy.
Kuna hawa African zone ambao hata yeye anawekaga takwimu zao, juzi hapo wametoa takwimu ambazo zinaonesha Simba yupo top 3.
Lakini kwasababu tunajua sio vyanzo rasmi vya CAF hatukuona kama ni kitu cha kuvimbiaView attachment 3210019
Yanga Wanaokota vijihabari mitandaon ili wajifariji baada ya kushindwa kufka robbiUnamaanisha Nini mkuu
Itakuwa CUF ya LipumbaCaf ipi?
unakawakanyagia shingoni 😁Hii vipi?
View attachment 3210015
Lahaula .. kumbe Utopolo haijawahi kushinda hata mechi 5 za group stage tangu ianzishwe mwaka 1935!!!Hii vipi?
View attachment 3210015
Huu ujinga CAF hawautambuiNi CAF wametoa hizi
facts are stubborn things UtosIrrelevant
Ya buguruniCaf ipi?
Itakuwa ya Lipumba. Siyo bure.Caf ipi?
Hii itakuwa ya Lipumba😁😁😁Caf ipi?
Unajifurahisha tuu#MICHEZO: Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024.
Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15.
Orodha hiyo Klabu kutoka Kaskazini mwa Bara la Afrika zimeendeleza ubabe kutokana na ubora wao na kushikilia namba 1 mpaka 7.
Mwaka huu unaiona Simba na Yanga zikimaliza nafasi ya ngapi?
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_View attachment 3210009
Sasa huko katika wapiKumbuka Yanga alikuwa club bingwa