#MICHEZO: Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) limetoa takwimu ya vilabu bora 24 Barani Afrika kuanzia Tarehe 1 Januari mpaka 31 disemba mwaka 2024.
Katika Takwimu hizo Klabu ya Yanga ipo nafasi ya 9 ikiwa juu ya Kalbu ya Simba ambao wapo nafasi ya 15.
Orodha hiyo Klabu kutoka Kaskazini mwa Bara la Afrika zimeendeleza ubabe kutokana na ubora wao na kushikilia namba 1 mpaka 7.
Mwaka huu unaiona Simba na Yanga zikimaliza nafasi ya ngapi?
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV @nickymeena_
View attachment 3210009